OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
URAIA NA MAADILI MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA TANO
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Mtihani huu una sehemu tano na maswali 45
- Jibu maswali yote
- Andika majibu yako katika karatasi uliopewa.
- Hakikisha kazi yako ni safi
SEHEMU A. Chagua jibu sahihi
(i) Ni ishara gani inayoonesha kwamba taifa limepatwa na msiba mkubwa?
- Bendera zote kupepea nusu mlingoti
- Bendera ya taifa kupepea nusu mlingoti
- Bendera ya taifa kutopandishwa kabisa siku ya tukio
- Wananchi kuto toka nje
- Wananchi kuomboleza
(ii) Umuhimu wa bendera ya rais ni:
- Kutembelea katika ziara mbalimbali tu
- Kuonesha mamlaka ya rais
- Kuhamasisha mwenge wa uhuru
- Inaonyesha umoja
- Kumtambulisha rais
(iii)Rangi ya bluu iliyokatika bendera ya Tanzania huwakilisha
- Watanzania
- Madini
- Maji
- Mito
- Damu iliyomwagwa kwa kupigania uhuru
(iv) Kiongozi mkuu wa familia ni?
- Mama
- Baba
- Kaka
- Dada.
- Mjomba
(v) Maneno UHURU na UMOJA hupatikana katika?
- Mwengu wa uhuru
- Bendera ya taifa
- Ngao ya taifa
- Mlima kilimanjaro
(vi) Wimbo wa taifa una beti ngapi?
- Mbili
- Tatu
- Nne
- Tano
(vii) Mnyama wa taifa ni….
- Tembo
- Twiga
- Kifaru
- Samba
(viii)Bendera ya Taifa ina rangi ngapi?
- Tatu
- Tano
- Nne
- Sita
(ix) Tanzania bara ilipata Uhuru wake tarehe 9 Desemba mwaka………………………
- 1964
- 1962
- 1961
- 1967
(x) Wimbo wa taifa letu ni dua ya kuiombea…………………
- Africa naTanzania
- Africa
- Tanzania
- Africa, Tanzania na Dunia
(xi) Tanganyika ilipata uhuru kutoka kwa………………….
- Wajerumani
- Wareno
- Waingereza
- Wafaransa.
(xii) Wimbo wa taifa una beti………… …………
- Nne
- Tatu
- Mbili
- Tano
(xiii) Ipi siyo sifa ya serikali ya kidemokrasia?
- Kulinda haki za binadamu
- Kuendesha na kuamua kila jaambo bila kuhusisha wananchi
- Kufanyaa chaguzi huru na haki
- Kuwa na mahakama navyombo vyahabari vilivyo huru.
(xiv) Zifuatazo ni haki za binadamu isipokuwa;
- Uhuru wa kumiliki ardhi
- Uhuru wa kujiunga na vyama
- Uhuru wa kuabudu
- Uhuru wa kuvunja sheria.
(xv) Kuheshimu utamaduni wa watu wengine huleta………………………….
- Upendo na mshikamano
- Ujasiri na upendo
- Mshikamano na upole
- Kelele na utulivu.
(xvi) Faida ya kuhusiana vyema na wenzako shuleni ni pamoja na
- Kuleta chuki
- Kuondoa upendo
- Kufaulu vizuri katika mitihani
- Kutokushirikiana.
(xvii) Matendo ya uwajibikaji katikafamilia ni pamoja na;
- Kulala mapema
- Kushiriki kufanya kazi ndogondogo za kifamilia
- Kucheza mpira
- Kuwatibu wagongwa.
(xviii) Shughuli za usafi nyumbani zinapaswakufanywa na……………….
- Baba
- Mama
- Msaidizi wa nyumbani
- Wanafamilia wote.
(xix) Moja wa faida kuu ya kujiunga na Klabu ya masomo shuleni ni……………..
- Kukuza uelewano na uwongo
- Kukuza uelewano na kujiamini
- Kushindana kwa majibizano na jeuri
- Kuwa maarufu na kuvunja haki za binadamu
(xx) Unaposhuhudia vitendo vya kikatili uwapo shuleni unatoa taarifa:
- Mahakamani
- Polisi
- Kwa mwalimu wa ushauri nasaha
- Kwa mwenyekiti wa mtaa tu.
SEHEMU B.
Oanisha fungu A na fungu B ili kupata maana.
FUNGU A
|
FUNGU B
|
|
|
SEHEMU C.
Andika Ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi sii sahihi
- Madini hutegemewa sana katikakuongeza pato la Taifa…………… ………………
- Kila mtu anawajibika kulinda rasilimali za nchi…………… ………………………..
- Wanaharibu rasilimali wanasaidia taifa…………… ……………………………………
- Mvuvi anayevua samaki kwa kutumia sumu baruti ni mtunzaji wa rasilimali……………..
- Kukata miti ni njia mojawapo ya kulinda rasilimali za misitu………… …………………….
- Kutokuwa mtoro ni moja wa sheria za shule……………………………..
- Utii wa sheria husaidiakufanya mambo yaende kwa mpangilio………….
- Utawala bora ni uongozi unaotumia sheria kwa maslahi ya watu wachache………
- Usafi wa mazingiraya shule ni wajibu wa wanafunzi wachache…………….
- Ili kukamilisha majukumu, hapana budi kusukumwa na kusimamiwa………………
SEHEMU D.
Jaza nafasi zilizo wazi
- Nini kirefu cha ukimwi?......................... .......................................................
- Rangi ya njano katika bendera ya Taifa la Tanzania inaashiria nini?.................
- Tanzania ilipata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Taifa la……………………
- Serikali ya kijiji au mtaa ina kamati ngapi za kudumu?..............................
- Rangi nyeusi katika bendera ya Taifa inaashiria nini?................................
SEHEMU E.
Jibu maswali yafuatayo kwa kifupi.
- Taja wajibu wa raia wa Tanzania……………… …………………………………….
- Nini umuhimu wa bendera ya taifa?...............................................
- Taja sikukuu tatu za kitaifa zinazoadhimishwa Tanzania.
- Rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa?......................................
- Taja sababu moja inayoweza kusababisha bendera kupandishwa nusu mlingoti…
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA TANO
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Mtihani huu una sehemu tano na maswali 45
- Jibu maswali yote
- Andika majibu yako katika karatasi uliopewa.
- Hakikisha kazi yako ni safi
1. SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHII
(i) Kipi kati ya hizi sio mfano wa kiumbe hai?
- Virusi
- Wanyama
- Mimea
- Wadudu
(ii) Yafuatayo ni mazingira ya viumbe hai, isipokua,
- Udongo
- Maji ya mito
- Maziwa
- Anga.
(iii) Ni ugonjwa upi ambao hausababishwi na maji machafu?
- Malaria
- Kichocho
- Homa ya matumbo
- Kipindupindu
(iv) Maporomoko ya mtera yanapatikana mkoa gani?
- Morogoro
- Iringa
- Mbeya
- Kilimanjaro
(v) Kipi kati ya hizi ni kinza nuru?
- Kioo
- Mbao
- Ukuta
- Kitabu.
(vi) Mahitaji muhimu ya mbegu ni…………………………..
- Maji, mbolea, udongo
- Udongo, joto, hewa
- Maji, hewa, joto
- Hewa, mbegu na maji
(vii) Mwili safi ni mwili ………………………………………
- Unaonuka
- Uliooshwa
- Ulionenepa
- Ulionawiri
(viii)Mlo kamili ni ule wenye…………..vinavyotakiwa mwilini..
- Vitamin
- Kabohaidrati
- Virutubisho vyote
- Viin
(ix) Tunatunza mazingira ili………………………..
- Tuepukane na magonjwa
- Tupate ajira
- Tupate mvua
- Kuepuka upepo.
(x) Udadisi ndiyo mwanzo wa………………
- Uchunguzi wakisayansi
- Kukusanya data
- Maswali
- Kuibua tatizo.
(xi) Sehemu kubwa ya miili yetu ni…………………..
- Mifupa
- Nyama
- Damu
- Maji.
(xii) Maji yalio katika hali ya yabisi huitwa…………………
- Mvuke
- Barafu
- Kimiminika
- Hewa
(xiii) Sehemu ipi katika nyenzo daraja la kwanza huwa katikati?
- Mzigo
- Jitihada
- Egemeo
- Sepeto
(xiv) Mojawapo wa vifaa vifuatavyo ni mfano wa kabari;
- Mtange
- Toroli
- Patasi
- Jembe
(xv) Kani za mvutano kati ya molekyulizamaada huwa ndogo sana katika;
- Chuma
- Maji
- Mvuke
- Hewa
(xvi) Kipi kati yahivi vifuatavyo kina umbo maalum?
- Soda
- Karatasi
- Gesi
- Maji
(xvii) Sumaku imeundwa kwa………………………………………
- Chuma
- Mbao
- Kioo
- Chuma na kioo
(xviii) Sumaku zinawekwa katika milango ya majokovu na baadhi ya makabati ili …… ………….
- Kufukuza joto
- Kufanya eneo la ndani liwe na joto
- Kufanya milango ibane vizuri
- Kuondoa asili ya chuma
(xix) Ukidondosha wembe ndani ya pipa lenye maji, njia bora ya kuchukua wembe ni ……………
- Kujitosa ndani ya pipa
- Kuingiza sumaku iliyofungwa kwenye kamba ndefu
- Kutoboa pipa
- Kuhamisha maji.
(xx) Mtiririko wa umeme katika sakiti huitwa?
- Sakiti sambamba
- Mkondo wa umeme
- Sakiti mfuatano
- Kani ya msukumo wa umeme.
SEHEMU B.
2. Andika kweli kwa sentensi ambayo ni sahihi au sii kweli kwa sentensi ambayo sii sahihi
- Amita ni kifaa kinachopima ukinzani wa umeme katika sakiti……………
- Voltimita ni kifaa kinachopimakani ya msukumo wa umeme katika sakiti……..
- Ukiondoa globu moja kwenye sakiti mfuatano iliyobaki itaendelea kuwaka…….
- Mkonge ni mfano wa mimea inayohifadhi kwenye majani …………… ……………….
- Jongoo hujikunja ili aweze kujikinga na maadui……………………
- Kobe hujificha kwenye jumba lake ili kujikinga na maadui…………………….
- Kinyonga ukabiliana na mazingira yake kwa kubadilisha rangi ……… …………..
- Ncha mbili za sumaku zinazofanana hukwepana…………………………..
- Ncha mbili za sumaku zisizofanana huvutana……………………
- Opena ni mfano wa nyenzo daraja la pili…………………
SEHEMU C.
3. Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa neno sahihi.
- Joto husafiri katika vimimina kwa njia iitwayo……………………………
- Ugongjwa unaosababishwa na ukosefu wa protini na unawapata watoto chini ya miaka mine huitwa?...............................
- Mfano wa maada inayopitisha joto kwa haraka ni…………………………………….
- Ardhi, maji, wanyamapori na misitu hujulikana kama………………………….
- Ugonjwa wa UKIMWI hauna………………………wala………………………..
- Joto husafiri katika ombwe kwa njia ya………………………………
- Gesi itakayo na kinyesi cha wanyama huitwa…………………..
- Mwanga wa jua utupatia…………………………….
- Ngamia huhifadhi mafuta kwenye……………………………
- Stigma hupokea chavua kutoka…………………………
SECTION D.
4. Oanisha fungu A na B ili kupata jibu sahihi kwa kuandika herufi yake pembeni ya namba ya swali.
FUNGU A
|
FUNGU B
|
|
|
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA TANO
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Mtihani huu una sehemu nne
- Jibu maswali yote
- Andika jina lako katika kila ukurasa
SEHEMUA.
Chagua herufi ya jibu sahihi katika sentensi zifuatazo:
(i) ……………… ………………… ni jumla ya mambo yote yanayomzunguka binadamu.
- Misitu
- Mazingira
- Makazi
- Milima
(ii) Mojawapo ya shughuli zinazofanywa na binadamu zinazoweza kuharibu mazingira ni ……………………………..
- Uchimbaji wa madini
- Ufugaji wa ndani
- Ukusanyaji takataka
- Urejelezaji
(iii) Kufuga mifugo mingi katika eneo dogo husababisha………… ……………… .
- Mifugo kunenepa
- Wachungaji kuchoka
- Mmomonyoko wa udongo
- Majani kuongezeka
(iv) Uvuvi haramu ni hatari kwa vile huharibu ………………………………………….
- Miundombinu
- Mazalia ya samaki
- Chakula
- Mali asili
(v) Ni muhimu ……………… …………………… takataka za viwandani ili kutunza mazingira.
- Kurejeleza
- Kutupa ovyo
- Kuficha
- Kufukia
(vi) Muhammad Ahmad alikua ni kiongozi wan chi ya;…………………………..
- Rwanda
- Burundi
- Sudan
- Niger.
(vii) Sababu ya wakoloni kuvamia ukanda wa pwani katika Africa ulikua ni
- Urahisi wa kufanya biashara
- Urahisi wakuwasaidia watu
- Uraihisi wa kuendesha shughuli za kilimo
- Kurahisisha uchimbaji wa madini
(viii) Miongoni mwa mashujaa waafrica waliopinga uvamizi ni;
- Agostino Neto, Kwammeh Krumah, na otto von bismark
- Kwame Nkrumah, Isike, Seyyid Said
- Otto Von Bismark, Isike,Agostino Neto
- Mfalme Menelik wa II, Msiri na Mkwawa
(ix) Mkutano wa kuigawa Africa ulifanyika nchi gani?
- Uingereza
- Marekani
- Ujerumani
- Ufaransa.
(x) Alama za taifa ni pamoja na;
- Bendera ya taifa, mwenge wa uhuru, twiga
- Shoka, panga,jembe
- Mwenge, wimbo wa shule, shoka
- Samba, nembo, bendera ya taifa
(xi) Kutoheshimu alama za taifa ni pamoja na;
- Kuzingatia matumizi ya nembo ya taifa
- Kusimama wima wakati benderaya taifa inapandishwa na kushushwa
- Kudhamini fedha ya Tanzania
- Kuimba wimbo wa taifa kila siku.
(xii) ……………..ni jumla ya mambo yote yanayowaunganisha watu kama taifa;
- Utamaduni
- Uzalendo
- Michezo
- Makabila
(xiii) Matendo ya kutodhamini fedha ni pamoja na;
- Kutokunja fedha ya Taifa
- Kuchokorachokora nakuchezea fedha ya noti
- Kushika fedha ya noti kwa mikono iliyokauka
- Kutunza fedha ya noti kwenye pochi.
(xiv)Sarafu na noti ni;
- Fedha
- Alama
- Mali ya rais
- Maliasili
(xv)Baba, mama, na watoto pamoja huunda;
- Kijiji
- Familia
- Ukoo
- Marafiki.
(xvi) Tanzania ilitawaliwa na wajerumani tangu mwaka…………..
- 1886 hadi 1961
- 1885hadi 1907
- 1919 hadi 1945
- 1886 hadi 1918
(xvii) Ni njia ipi unaweza kutumia hili kupata taarifa za mashujaa katika jamii?
- Kwa kusoma na kuhadithiwa habari zao
- Kwa kuangalia nyuso zao
- Kwa kuangalia miili yao kama ina nguvu
- Kwa kuota ndoto.
(xviii) Kinjekitile Ngwale aliongoza mapambano ya kupinga uvamizi wa wajerumani katika mikoa ipi?
- Mwanza na Shinyanga
- Tabora na pwani
- Mtwara na Lindi
- Pwani naTanga
(xix) Moja ya sababu zilizofanya wajerumani kuvamia Tanganyika ilikua?
- Kueneza dini ya kiislamu
- Upendo wa wajerumani kwa watanzania
- Kutafuta masoko ya bidhaa zao
- Kuimarisha misingi ya uzalendo.
(xx)Mtemi Isike aliongoza kabila gani kuwapinga wajerumani?
- Wasukuma
- Wanyamwezi
- Wazaramo
- Wahehe.
SEHEMU B.
2. Andika Ndiyo kwa sentensi na Hapana kwa sentensi zilizo sahihi.
- Mito, maziwa na bahari ni vyanzo vya maji ………………………………………….
- Kitendo cha kupanda miti ni hali ya kutokutunza mazingira ………………………………………………….
- Kilimo mseto huharibu rutuba ya udongo …………………………………………………….
- Kukata miti ovyo husababisha ukame ………………………………………………..
- Ili kutunza vyanzo vya maji inatupasa kufuata kanuni za utunzaji wa mazingira …………………………
- Kimondo ni chanzo cha mwanga Duniani………………………………..
- Mfumo wa jua una sayari kumi…………………………………………………………..
- Sayari yenye pete huitwa Mihiri………………………………………………………..
- Jua huzunguka dunia wakati wa usiku………………………………………………
- Njia ya sayari kuzunguka dunia huitwa Obiti…………………………………………….
SEHEMU C.
3. Oanisha kifungu A kwa kuchagua jibu sahihi kutoka kwenye kifungu B
Kifungu A
|
Kifungu B
|
|
|
SEHEMU D.
Jaza nafasi zilizoachwa wazi katika kifungu cha habari kwa kutumia maneno yaliyo katika jedwali.
Mahindi, maharage na ndizi; ukataji wa miti, ukame;shughuli za uzalishaji; kahawa na katani’ardhi kukosa rutuba
|
Shamba ni mahali ambapowatu hufanya………………. Wakulima huzalisha mazao kama…………………… Kunapokuwa na uhaba wa mvua………………hutokea. Kilimo holela huweza kusababisha………………Katikamazingira yetu………………usababisha upunguvu wa mvua na ongezeko la joto.
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FIVE
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:____________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS.
- This paper consists of 45 questions
- Answer all questions in the spaces provided
- Ensure clarity in all your answers
- Do not attempt to cheat.
SECTION A.
FOR QUESTIONS 1-20, CHOOSE THE CORRECT ANSWER FROM THE ALTERNATIVES GIVEN.
1. Which animal flies with wings having feathers
- Bird
- Bat
- Mosquito
- Butterfly
2. ………….lays eggs in water, though he lives in water
- Octopus
- Tortoise
- Crocodile
- Frog
3. ………..lives in water but lays her eggs on dryland
- Bat
- Tortoise
- Lizard
- Octopus
4. …………….produces seeds but does not have flowers
- Oranges
- Pineapples
- Maize
- Mango
5. ………….is a mammal but does not have sweat glands.
- Bat
- Whale
- Dog
- Rat
6. Which of these activities shows interdependence among organisms?
- Use of organic fertilizer on maize shamba
- Use of manure on maize farm
- Use of insectides on the farm
- Use of paper to make charcoal
7. The study of relationship between organisms and the environment is called
- Biology
- Ecology
- Agriculture
- Balance of nature
8. When plants make their own food, they help in;
- Adding carbondioxide gas into atmosphere
- Reduction of amount of oxygen in atmosphere
- Adding amount of oxygen in atmosphere
- Reduction of carbondioxide in the atmosphere.
9. Keeping large number of animals in a small piece of land can cause;
- Improves ecology
- Destroys ecology
- Removes vegetation and make an area attractive
- Helps us get food easily.
10. Ecologically, burning of forests……………
- Has negative effects to plats and animals
- Adds amount of animals in soil
- Is sustainable way of harvesting honey
- Has no effects on the environment.
11. Which part of cockroache’s body carries fertilized eggs?
- At the end of uterus
- In the stomach
- At the tail end
- In the gills
12. How many stages does a cockroach undergo to complete metarmophosis?
- four
- three
- two
- five
13. Which stage in growth of butterfly is the most destructive to the farmer?
- Pupa
- Lava
- Adult
- Egg
14. How many legs does a grasshopper have?
- Four
- Six
- Eight
- Two
15. Which part of reproductive system does implantation take place?
- Fallopian tube
- Uterus
- Cervix
- Ovary
16. In man, sperms are produced in the,
- Testis
- Epidydimis
- Scrotum
- Vas deferens
17. Which is not a characteristic of wind pollinated flowers
- Have nectar
- Dull coloured
- Produce many pollens
- The filaments are long and wavy
18. The part of a flower that receives pollen grains is called
- Anther
- Style
- Filament
- Stigma
19. Which of these are products of photosynthesis?
- Oxygen and carbon dioxide
- Water and glucose
- Oxygen and glucose
- Energy and water.
20. The role of chlorophily in plants is to;
- Give a plant good colour
- Trap water
- Trap sunlight
- Trap energy
SECTION B. WRITE TRUE OF FALSE FOR EACH OF THE FOLLOWING STATEMENTS.
21. Animals like birds are only organisms which are cold blooded…………
22. If the nostril of a frog is closed, it dies…………………
23. Human beings and rat are in the same group……………
24. Crocodile is a mammal……………………………
25. Bat is a bird because he can fly………………… .
26. All birds have feathers……………… .
27. There are species of frogs which gives birth to live young ones………………….
28. All mammals lives on dry land……………………
29. Amphibians and reptiles have warm blood………… .
30. Worms and mosquitoes do not have a backbone……………
SECTION C.
MATCH THE ITEMS IN LIST A WITH THOSE IN LIST B TO GET MEANINGFUL SENTENCE.
LIST A
|
LIST B
|
31. Cockroach
32. Fish
33. Dog
34. bird
35. pineapple
36. poikilothermia
37. snake
38. amphibian
39. monocotyledon
40. dicotyledon.
|
|
SECTION D.
ANSWER THE FOLLOWING QUESTIONS BRIEFLY.
The diagram below shows fertilization in flowering plant. Use it to answer questions that follows.
41. Name parts A, B,C,D and E.
42. What is formed when the above process is complete.
43. What is pollination?
44. Name two types of pollination
45. Name two organisms that undergoes complete metamorphosis
46. The process by which a fruit is formed without fertilization is called……… …………
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SOCIAL STUDIES- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FIVE
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_____________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS.
- This paper consists of 45 questions
- Answer all questions in the spaces provided
- Ensure clarity in all your answers
- Do not attempt to cheat.
1. ………………. is the situation where by harmful substances are introduced into earth’s atmosphere:
- Air pollution
- water pollution
- soil erosion
- land pollution
2. The Nyamwezi chief who fought against the Germany from 1891 to 1893 was:
- Mirambo
- Isike
- Hassan bin Abushiri
- Mkwawa
3. A son of your sister or your brother is called:
- Nephew
- aunt
- Niece
- cousin
4. The smallest planet in the solar system is:
- Uranus
- Jupiter
- Mercury
- Earth
5. Who was the leader of IBEACO in East Africa?
- William Macknon
- Carl Peters
- Vasco DaGama
- Sir Donald Cameroon
6. The first German governor in Tanganyika was known as”
- Horrace Byatt
- Julius Von Soden
- Emil Von Zelewisky
- Richard Turnbull
7. The German ruled Tanganyika until”
- 1945
- 1961
- 1918
- 1945
8. The nick name of Carl Peters was:
- Nyundo
- Mkono wa damu
- Katili
- Mfanyabiashara
9. The main slave market in East Africa was in:
- Mombasa
- Bagamoyo
- Zanzibar
- Dar es salaam
10. One of the positive effect of slave trade along the Coast of East Africa was”
- Depopulation
- introduction of Swahili language
- insecurity
- Forced labour
11. An hygrometer is an instrument in the meteorological centre which is used to measure:
- Pressure
- Humidity
- Temperature
- Rainfall
12. The increase of temperature on the earth due to much carbondioxide is called:
- Global cooling
- global warming
- global carbon
- atmosphere
13. Which among the regions receives the small/least amount of rainfall?
- Equational
- tropical
- Desert and semi desert
- Coastal region
14. Where did iron smelting start in East Africa?
- Mwanza
- Kondoa
- Engaruka
- Uvinza
15. Dodoma train accident at Igandu occurred on:
- 24th June 2002
- 12th January 1964
- 23rd December 2015
- 24th March 2018
16. Who was the last British governor in Tanganyika?
- Julius Von Soden
- Richard Turnbull
- J.K.Nyerere
- Edward Twinning
17. When was the Organization of African Unity (OAU) formed:
- 1963
- 2002
- 1945
- 1918
18. Chama cha mapinduzi is a combination of two political parties which are:
- ASP and TAA
- TANU and TAA
- ASP and TANU
- ASP and KANU
19. John Okello is popularly known in the history of Zanzibar:
- Because he involved full in Zanzibar revolution plans
- Because he was the last Sultan of Zanzibar
- He was the last British governor in Zanzibar
- He was the last head of state in Zanzibar
20. A famous archeologist who discovered the skull of zinjanthropus at Olduvai Gorge is:
- Charles Darwin
- Bartholomew Diaz
- Dr.Louis K. Leaky
- D. Vasco Da Gama
21.___________ is the day to day condition of the atmosphere.
- Weather
- climate
- desert
- sunny
22. Ocean tides is the result of
- Gravitation force between the moon and earth
- solar eclipse
- lunar eclipse
- revolution of the moon
23. Day and night is caused by____________
- Rotation of the earth on its axis
- revolution of the earth on its axis
- solar eclipse
- solar system
24. An economic activity that involves extraction of minerals from the ground is called:
- Agriculture
- fishing
- mining
- industry
25. One of the following is a food crop:
- Cashew nut
- maize
- sisal
- tea
26. Which of the following societies are still living primitive communal way of life?
- Maasai and Chagga
- Sandawe and Hadzabe
- Kurya and Sukuma
- Yao and Nyakyusa
27. Which of the following is an illegal fishing method:
- The use of poison
- hooks
- wick worker fish trap
- larpooming
28.___ is the act of daring and ability to find market and innovate new business ideas in order to produce or provide services which will make you to get income.
- Entrepreneurship
- trade
- commodity
- goods
29. The following are the categories of vegetation cover resources EXCEPT;
- Forest
- bushes
- wild animals
- grasses
30. J. K. Nyerere resigned from power in:
- 1895
- 1992
- 1990
- 1985
31. What time is taken for sun rays to reach the earth?
- 8 hours
- 24 hours
- 8 1/2 minutes
- 30 minutes
32. The king of the Lozi kingdom in Zimbabwe who collaborated with the British against the Ndebele was called:
- King Mswati
- Lewanika
- Kabaka Mtesa I
- Thabo Mbeki
33. The Portuguese explorer Vasco Da Gama reached the coast of East Africa in:
- 1492
- 1698
- 1498
- 1840
34. When did Mwalimu J.K.Nyerere become the first president of Tanganyika?
- 1961
- 1964
- 1965
- 1962
35. The first prime minister of Tanganyika was:
- Edward Sokoine
- Rashid Kawawa
- J.K.Nyerere
- Ali Hassan Mwinyi
36. The first general election under multipartism in Tanzania was conducted in:
- 1992
- 1995
- 1994
- 1993
37. The largest planet in the solar system is:
- Satum
- Jupiter
- Pluto
- The sun
38. An instrument which is used to measure wind direction is called:
- Thermometer
- Barometer
- Anemometer
- Wind-vane
39. The second imperialist country to colonize Tanganyika was:
- Japan
- USA
- German
- Britain
40. Who was the first European to sea Mount Kilimanjaro?
- William Macknon
- David Livingston
- Johannes Rebman
- Carl Peters
SECTION B: SHORT ANSWERS.
41. Which country in East Africa was the first to get independence?
42. The process of buying and selling human being like other commodities is known as……… ………………
43. Name the physical feature found in a map.
44. Draw a sign used to show a bridge in a map
45. The source of river Nile is the lake known as…… ………… ……
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Karatasi hii ina kurasa nne zenye maandishi yenye sehemu A,B, C, na D zenye maswali arobaini na tano (45).
- Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
- Kumbuka kuandika majina yako, na shule yako kwenye karatasi ya kujibia.
- Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
- Tumia kalamu ya wino wa bluu au nyeusi kwa maswali yote uliyopewa.
SEHEMU A. SARUFI
Chagua jibu sahii katika maswali yafuatayo;
1. Wanafunzi waliopiga kelele darasani walipewa………………………..
- Athabu
- Azabu
- Adhabu
- Asabu.
2. Neon “waliandikiwa” lipo katika wakati upi kati ya nyakati zifuatazo.
- Ulipo
- Uliopita
- Ujao
- Mazao
3. Dada wa baba yako utamwitaje?
- Shangazi
- Wifi
- Binamu
- Bibi.
4. Wingi wa maneno “Mchanga mwingi” ni upi kati ya maneno yafuatayo?
- Michanga mingi
- Michanga mwingi
- Mchanga mingi
- Mchanga mwingi.
5. Wageni wanaotembelea mbuga za wanyama huitwaje?
- Majangili
- Wapelelezi
- Watalii
- Magaidi.
6. Mama yangu…………………..chakula kizuri jana jioni.
- Anapika
- Atapika
- Alipia
- Hupika
7. Siku ya pili baada ya leo huitwa?
- Juzi
- Kesho kutwa
- Mtondogoo
- Mtondo
8. Wingi wa neon ufundi ni upi kati ya maneno yafuatayo?
- Mafundi
- Fundi
- Vifundi
- Ufundi
9. Ni neno lipi kati ya maneno yafuatayo yenye maana inayojumuisha maneno upinde, bunduki, mkuki na mshale,
- Silaha
- Vipuli
- Malighafi
- Samaki.
10. Mwakani…………….darasa la tano. Ni neno lipi linakamilisha sentensi hii kwa usahii?
- Niliingia
- Ninaingia
- Nitaingia
- Nimeingia.
11. …………likilia kuna jambo
- La polisi
- La mtu
- La mgambo
- La jeshi
12. Mtu anayeendesha ndege huitwa…………………..
- Rubani
- Nahodha
- Utingo
- Dereva
13. Ni marufuku mifugo yote………………….karibu na hifadhi za taifa.
- Kutembelea
- Kucheza
- Kukimbia
- Kuzurura.
14. Watu wengi walilima…………………yam to rufiji
- Katikati
- Kando
- Ndani
- Nyuma.
15. Ziwa Tanganyika liko upande wa ………………..mwa nchi ya Tanzania
- Magharibi
- Kaskazini
- Kusini
- Mashariki.
16. Ipi ni sentensi sahihi kati ya hizi iliyoandikwa katika wakati uliopita nafasi ya kwanza umoja?
- Wakulima wali
- Tulisuka vikapu
- Wanaimba wimbo
- Walishona nguo ndefu
17. Katika sentensi hizi, ipi ina vitu vinavyohesabika?
- Maji, hewa, machungwa
- Sukari, kanga, unga
- Viazi, mihogo, maboga
- Chumvi,embe, maji.
18. Katika shairi, vina ni………………………
- Maneno mapya
- Jumla ya namba
- Silabi za kati na mwisho
- Mistari kidogo.
19. Kamilisha methali ifuatayo.”Mchagua nazi huinukia..”
- Koroma
- Dafu
- Mbata
- Kifuu
20. “Kiti cha mjomba wangu ni kizuri” nini wingi wa sentensi hii?………….
- Viti vya mjomba wangu ni vizuri
- Viti vya wajomba wangu ni kizuri
- Viti vya wajomba zangu ni vizuri
- Viti vya wajomba wangu ni vizuri.
SEHEMU B.
Andika neno moja linalowakilisha kundi la maneno yafuatayo ………… …………
21. Darasa, nyumba, ofisi, vyoo……………
22. Mende, siafu, nyuki,kipepeo……………
23. Jumatatu, jumanne,alhamisi………………
24. Sato,perege, kambale,kamba………………
25. Shati, suruali, kaptula, sketi…………………
Kamilisha methali na vitendawili vifuatavyo.
26. Mwana kidonda mjukuu……………
27. Mchagua jembe………………………
28. Haba na haba………………
29. Nina chemchem isiyokauka………………
30. Tajiri wa rangi……………………
SEHEMU C.
Kamilisha nafasi zilizoachwa wazi kwa kuchagua jibu lililo sahihi kutoka katika kisanduku kifuatacho.
Kusengenya,mtu,uyoga,katani,Kuishi,miaka mingi, kumsuta mtu, barabara,kilema, mwizi, kuwa tajiri sana
|
31. Nahau, ‘’Ana mkono mrefu maana yake ni ipi?...................
32. Kitendawili kisemacho “kamba yangu ni ndefu lakini haifungi kuni maana yake ni ipi…….
33. Nahau kula chumvi nyingi maana yake ni……….
34. Kitendawili kisemacho “nyumba yangu ina nguzo moja” jibu lake ni lipi?……………
35. Nahau “kumkalia kitako” maana yake ni ipi?...........................
SEHEMU D.
Tumia maneno uliyopewa kwa kula sentensi kujaza nafasi zilizoachwa wazi.
36. Watoto ______ chakula kitamu (wanapenda, watalia, wanaimba, walitenda)
37. Otaigo alipofika sokoni_________mjomba anauza viatu (atamkuta, hukuta, alimkuta, angemkuta)
38. Baba yake Eliza_____________ akida (ataita, anaitwa, anaitika, ameitwa)
39. Kesho jioni___________ mtoni (nitakwenda, nilienda, nimekwenda, nimeenda)
40. Leo Mwalimu __________elimu kwa vitendo. (himiza, alihimiza, huhimiza, anahimiza)
41. Mwasije atakapokuwa mkubwa_________ ghorofa (anajenga, hujenga, atajenga, akijenga)
42. Kijana yule angalighani shairi__________mtukutu (asingalikuwa,asingelikuwa, asingekuwa,angekuwa)
43. Mama____________sasa hivi kwenda dukani (aliondoka, alikwishaondoka, ameondoka, keshaondoka)
44. Kila siku ________ shuleni kwa miguu. (tulikwenda, tumekwenda, tunakwenda, tutakwenda.)
45. Jana ________kitabu kinachoelezea utii wa watoto kwa wazazi na walimu. (nimesoma, nilisoma, nitasoma anasoma.)
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FIVE
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:__________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS.
- This paper consists of 45 questions
- Answer all questions in the spaces provided
- Ensure clarity in all your answers
- Do not attempt to cheat.
SECTION A. GRAMMAR.
Choose the correct answer from the alternatives given.
(i) You wont succeed ………………….you work hard.
- If
- Unless
- As
- Because
- Then
(ii) We are studying hard……………………..we can pass our exams.
- In order
- So that
- Because
- Due
- So far
(iii) The land in the desert is…………….dry………….cultivate any crops
- As………………as
- Such………..that
- Too………for
- Too…….to
- So………..that
(iv) All the visitors were introduced starting from the first to the …………..
- Other
- Final
- Last
- Finally
- Lastly
(v) I have been looking for a job………last year
- For
- At
- About
- By
(vi) Musa is going to the park…………..her friends
- And
- With
- By
- Or
- In
(vii) Neema looked………………….her father’s cattle when he was young.
- After
- On
- With
- From
- In
(viii) Allan and ………………..decided to visit mikumi national park last week.
- Myself
- Me
- I
- My own
- Our.
(ix) Rose is a dentist, she works in the……………………
- Court
- Library
- Hospital
- Farm
- Pharmacy
(x) Normaly, prevention is……………than cure
- Good
- Very good
- Best
- Better
- Worse.
(xi) He usually …………………his friends on Friday
- visits
- visited
- visiting
- visit
(xii) This chair is made………………wood
- by
- with
- from
- of
(xiii) He………………..the money when the thief broke into this house
- counter
- counting
- had count
- was counting
(xiv) Juma …………………..for an hour now
- is studying
- shall address
- has been studying
- shall be address
(xv) we ……………..them tomorrow morning
- will address
- shall address
- would address
- shall be address
(xvi) John was reading hwilwbhis mother ………TV
- Watched
- Was watching
- She was watching
- Had to watch.
(xvii) They…..visiting us next week
- Have
- Will have
- Will be
- Can be
(xviii) She has just………………..her homework now
- Finished
- Finish
- Finishes
- Finishing
(xix) The farmers…………..in the farm at the moment.
- Works
- Will be working
- Are working
- Worked
(xx) Mwajuma looks …………………her old grandmother.
- At
- For
- After
- On
SECTION B. VOCABULARY.
21. A person who treats our eyes is called………………….
- Oculist
- Dentist
- Doctor
- Optician
22. A place where money is made is called…………………….
- Mint
- Bank
- Factory
- School
23. The opposite of the word always is…………………….
- Ever
- Aften
- Never
- Seldom
24. The plural of the word furniture is………………………………
- Wood
- Furnitures
- Chair
- Furniture
25. We write daily events on a……………………………
- Diary
- Dairy
- Book
- Paper
26. A waiter is a person who works in a………………
- School
- Farm
- Restaurant
- Factory
27. The movement of a large number of people, birds, animals from one place to another is called……………….
- Walking
- Flying
- Locomotion
- Migration
28. Mr. paul is a judge. He works in a …………………………
- School
- Court
- Farm
- Hospital
29. A person who makes pots is called a………………………………..
- Carpenter
- Builder
- Poet
- Potter.
30. A dozen means…………
- Six things
- Ten things
- Similar things
- Twelve things.
SECTION C.
Rearrange the following sentences into correct order by giving them letter A-E to make a meaningful composition.
31. They also bought some paint for this new house
32. After reaching home Mr. Makungu sprayed his plants with insecticide.
33. One day Mr. Makungu and his wife shopping.
34. After buying all the items, they left for home.
35. They bought some insecticide for their crops.
SECTION D.
Match the correct word from list A with word in list B.
LIST A
|
LIST B
|
|
|
No comments:
Post a Comment