TOPIC : 1 MAWASILIANO
MASWALI YA MADA
MADA: MAWASILIANO:
KIDATO CHA KWANZA.
A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI.
- Mawasiliano ni:___________
- Kufanya mawasiliano miongoni mwa wanajamii
- Kupashana habari miongoni mwa wanajamii kwa njia
mbalimbali
- Kufanya majadiliano marefu.
- Lugha inatofautiana na Nyanja nyingine za mawasilianao kutokana
na
- Lugha inatoa sauti nzuri.
- Lugha ina za kusemwa na binadamu.
- Lugha ina sauti nyingi.
- Moja ya sifa za lugha ni ____________
- Kufurahisha jamii.
- Kuathiri na kuathiriwa
- Kuipenda jamii.
- Mtungaji wa lugha ya Kiswahili hasa kijana mdogo anapowasalimia
watu wazima “Jamani mambo zenu?”, atakuwa amekiuka;-
- Utamaduni wa lugha ya Kiswahili
- Utaratibu wa mawasiliano
- Ujumbe wa lugha ya Kiswahili.
- Sauti za lugha zipo za aina kuu mbili, nazo ni?
- Irabu na lugha
- Lugha na mawasiliano
- Irabu na konsonanti.
B: OANISHA MANENO YALIYO KATIKA
FUNGU A ILI YAFANANE NA YALE YA FUNGU B.
FUNGU A
|
FUNGU B.
|
|
- Nyanja
za mawasiliano
- Lafudhi
- Lugha
mama
- Sarufi
- Sauti
za ndege, wadudu na wanyama
- Kithembe
- Kiimbo
|
- Mazungumzo
na maandishi
- Mifano
ya ishara katika mawasiliano
- Mazingira.
- Matamshi
ya mzungumzaji yanayotokana na lugha yake ya mwanzo.
- Kasoro
aliyonayo mtu wakati wa utamkaji wa neno fulani.
|
|
- Lugha,
ishara na ala za sauti
- Kupanda
na kushuka kwa mawimbi ya sauti wakati wa utamkaji.
- Moja
ya tanzu za lugha
- Lugha
anayojifunza mtu tangu utotoni
- Hazina
sifa ya kuwa lugha.
|
|
- Aina
za lugha
- Kukonyeza
na kutabasamu
- Kubadilika
kwa lugha.
|
|
C: JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI.
- Tanzu za lugha ni _______________________ na
_____________________
- Sauti za lugha ni za aina mbili, nazo ni ____________
na ___________________
- Ngoma na baragumu ni mifano ya ishara katika Nyanja
__________________
- Idadi ya sauti za lugha za konsonanti ni ngapi?
______________
- Idadi ya sauti za lugha za irabu ni ngapi?
_______________
- Taja mambo muhimu manne yaliyomo ndani ya dhana ya
lugha.
- ___________________
- ___________________
- ___________________
- ___________________
D: ANDIKA NDIYO KWA KAULI ILIYO
SAHIHI NA SIYO KWA KAULI ISIYO SAHIHI.
- Lugha ni moja ya Nyanja za mawasiliano__________
- Sauti za lugha zitolewazo na mwanadamu zisipokuwa na
mpangilio mzuri zina sifa ya kuitwa lugha_____________
- Mtumiaji wa lugha akitamka neno “Kurara” badala ya
neno “Kulala” atakuwa amekiuka sheria na taratibu zinazosimamia lugha ya
Kiswahili __________
- Lugha mama huweza kuziathiri lugha za mtumiaji
zinazofuatia.___________
- Lugha hutumika katika kutolea elimu katika ngazi ya
shule za msingi, sekondari na vyuo______________
- Kiimbo cha kupanda katika lugha ya Kiswahili hutumika
katika kauli za maswali______________
E: MAJIBU YA MAELEZO MAFUPI
- Eleza kwa ufupi kwa kutoa hoja tano kuhusu umuhimu wa
lugha.
- Eleza tofauti tano zilizopo kati ya lugha ya
mazungumzo na lugha ya maandishi.
- Fafanua kwa ufupi sifa tano za lugha.
Mkuu unacopy na kupaste sana, andika mwenyewe.
ReplyDelete