EXAM SERIES EXAM
STANDARD SEVEN SAYANSI EXAM SERIES 9
STANDARD SEVEN KISWAHILI EXAM SERIES 8
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI - MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SABA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
1. Usafirishaji wa chakula mwilini hufanywa na:
Alama Y inawakilisha sehemu iitwayo:
15. Hewa ya kabonidaiyoksidi hutumika kuzima moto kwasababu:
22. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...
Ni sehemu ipi inayohusika na kuilinda mbegu isiharibiwe na wadudu waharibifu mabadiliko ya jotoridi?
46. (a) Taja mahitaji mawili muhimu kwa ukuaji wa mimea
(b) Mapacha wanaofanana wanatokana na nini…………………
47. Sumaku ni nini?
48. Eleza matumizi ya sumaku
49. Mkondo waumeme unapimwa na kifaa kinaitwa………………………..
50. Kizio cha mkondo wa umeme ni? ..............................................
SAYANSI - MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SABA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- MTIHANI HUU UNA MASWALI 50
- JIBU MASWALI YOTE KWENYE NAFASI YA KARATASI ULIOPEWA
- HAKIKISHA KAZI YAKO NI SAFI
- DUMISHA UAMINIFU KATIKA KAZI YAKO.
1. Usafirishaji wa chakula mwilini hufanywa na:
- moyo
- damu
- misuli
- mapafu
- maji
Alama Y inawakilisha sehemu iitwayo:
- petali
- filamenti
- chavulio
- pistili
- ovari
- Polio
- Kipindupindu
- Pepopunda
- Kaswende
- Tetekuwanga
- Samaki na maziwa
- Ugali na ndizi
- Maharagwe na karanga
- Mayai na kabichi
- Matunda na mboga za majani
- kubadili hali ya besi katika tumbo
- kulainisha mafuta tumboni
- kuongeza uchachu tumboni
- kumengenya vyakula vya sukari tumboni
- kuua wadudu wanaoingia tumboni na chakula.
- Kutumia kikombe kimoja wakati wa kunywa maji.
- Kunawa mikono kabla ya mlo katika karai moja.
- Kupika mboga za majani na nyama kwa muda mrefu.
- Kuchemsha na kuchuja maji ya kunywa.
- Kuogelea katika mito na mabwawa.
- homa ya matumbo
- nagana
- malale
- matende
- homa ya ini
- Kula chakula na kufanya mazoezi mara kwa mara
- Kufanya mazoezi ya mwili, kuepuka kuvuta sigara na kuepuka kunywa pombe
- Kula chakula chenye chumvi na kunywa pombe
- Kufanya mazoezi ya mwili na kuvuta sigara
- Kula vyakula vyenye mafuta na kunywa pombe
- kumeza mchanganyiko wa madawa
- kutumia dawa za mitishamba
- kutumia vyandarua vilivyowekwa dawa
- kujifunika na blanketi Zito lililowekwa dawa
- kufanya mazoezi kila mara
- kuwezesha kujongea
- kuruhusu damu kupita
- kuruhusu maji kupita
- kuruhusu hewa kupita
- kuimarisha mwili
- Kuchua eneo lililoathirika kwa kiganja
- Kuchua kwa kukandamiza eneo lililoathirika hadi misuli ilegee
- Kuuchua msuli kwa kitambaa na maji baridi
- Kuweka kemikali zitakazowezesha misuli kulegea
- Kulala juu chini na kuchua msuli ulioathirika kvva maji moto.
- kumpa hewa ya oksijeni
- kumpa juisi ya nazi mbichi
- kumlaza juu chini na kumbonyeza tumbo
- kumpa maji yaliyochanganywa na glukosi
- kumpa juisi ya malimao, sukari na chumvi
- matumizi ya kondom na simu za mkononi yameongezeka
- matangazo kuhusu UKIMWI yameboreshwa
- kuna ongezeko la mahusiano ya kingono yasiyo salama
- elimu ya UKIMWI inatolewa kwa watu wachache
- watu wenye UKIMWI wanazingatia kanuni za kujikinga na UKIMWI
- Ncha ya Kaskazini kwenda Kusini
- media moja kwenda nyingine
- Ncha ya Kaskazini kwenda Mashariki
- Magharibi kwenda Mashariki
- Kaskazini kwenda Magharibi
15. Hewa ya kabonidaiyoksidi hutumika kuzima moto kwasababu:
- haichochei uwakaji
- ni nzito kuliko hewa
- haiwaki
- hunyonya joto
- huungana na oksijeni
- Sodiamu na kalsiamu
- Kalsiamu na oksijeni
- Fosforasi na kalsiamu
- Salfa na fosforasi
- Kalsiamu na chuma
- mpira
- udongo
- madini
- karatasi
- chuma
- nishati ya kikemikali
- nishati ya joto
- nishati ya kimakaniki
- nishati ya mwanga
- Nishati ya moto
- uchunguzi
- udadisi
- utambuzi wa tatizo
- utatuzi wa tatizo
- kuandaa ripoti
- Tetekuwanga
- Kuhara
- Kifaduro
- Utapia mlo
- Homa ya matumbo
- Vaa nguo safi
- Nawa kwa sabuni
- Vaa glovu
- Sali
- Mruhusu apumzike
22. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...
- joto na unyevu
- unyevu na mwanga
- upepo na mwanga wa jua
- mawingu na upepo
- unyevu na upepo
- Kukata miti
- Kuongeza mbolea kwenye udongo
- Kuotesha nyasi
- Kuweka matuta lavenye maeneo ya mteremko
- Kupanda miti
Ni sehemu ipi inayohusika na kuilinda mbegu isiharibiwe na wadudu waharibifu mabadiliko ya jotoridi?
- 2
- 3
- 5
- 4
- 1
- kuanza jaribio
- kukusanya data
- kutambua tatizo
- kuchanganua data
- kutafsiri matokeo
- asidi
- besi
- maji
- mafuta
- spiriti
- Zitavutana kwa nguvu
- Zitavutana kuelekea upande mmoja
- Zitasukumana
- Hakuna kitakachotokea
- Zitavunjika
- Hadubini
- Televisheni
- Saa
- Balbu
- Miwani
- Jua
- Nyota
- Mwezi
- Kimondo
- Sayari
- seli visahani
- plasma
- selihai nyeupe
- selihai nyekundu
- selihai za kugandisha damu
- Madini ya chuma
- Madini ya fosforasi
- Madini ya kasiamu
- Madini joto
- Vitamini K
- Kuongoza matendo ya hiari
- kuongoza matendo yasiyo ya hiari
- Kuongoza miondoko ya mwili
- kudumisha umbo la mwili
- kupeleka taarifa katika mfumo mkuu wa fahamu.
- shaba, maji na oksijeni
- sodiamu, maji na oksijeni
- kalsiamu, maji na oksijeni
- chuma, oksijeni na maji
- maji, oksijeni na potasiamu
- kuoka
- kutumia asali
- kukausha
- kutumia chumvi
- kutumia maji
- madini ya chumvi chumvi
- vitamini
- Maji
- protini
- hamirojo
- Mwewe Nyasi Chui mbuzi
- Nyasi Mwewe chui mbuzi
- Chui Mwewe Nyasi mbuzi
- Nyasi mbuzi chui mwewe
- Mwewe chui mbuzi nyasi
- ateri, vena na kapilari
- damu, moyo na mapafu
- damu, mishipa ya damu na moyo
- mishipa ya damu, moyo na valvu
- moyo, aota na ateri
- Pituitari na insulin
- Estrojen na projesteron
- Thyroksin na pituitari
- Estrojen na insulin
- Thairoksin na estrojen
- Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kuishi majini.
- Kutaga mayai, kuishi majini na kuishi nchi kavu.
- Kutaga mayai, kuwa na damu ya joto na kuishi nchi kavu.
- Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kupumua kwa kutumia mapezi.
- Kutaga mayai, kupumua kwa kutumia ngozi na kuishi majini.
- mmea kukosa madini joto
- mmea kushindwa kusanisi chakula
- majani ya mmea kukauka
- majani ya mmea kuwa njano
- maj ani ya mmea kupukutika.
- saitoplazimu
- vakuoli
- kloroplasti
- kiwambo cha seli
- nyukliasi
- stameni
- staili
- ovari
- Petali
- Sepali
- Mbegu ina tunda.
- Tunda huota.
- Tunda lina kotiledoni mbili.
- Mbegu huota.
- Mbegu haziliwi.
- kuhimili magonjwa
- kuwa na joto
- kukua kwa haraka
- kuwa na nguvu
- kuwa mwororo
- Mwili hupoa.
- Mwili hutulia.
- Mwili hurejesha nishati.
- Mwili hufanya shughuli nyingine.
- Mtu hupata fursa ya kulala.
46. (a) Taja mahitaji mawili muhimu kwa ukuaji wa mimea
(b) Mapacha wanaofanana wanatokana na nini…………………
47. Sumaku ni nini?
48. Eleza matumizi ya sumaku
49. Mkondo waumeme unapimwa na kifaa kinaitwa………………………..
50. Kizio cha mkondo wa umeme ni? ..............................................
STANDARD SEVEN SAYANSI EXAM SERIES 9
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SABA
MUDA: 1.30 DARASA LA VII
MAELEKEZO
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha uiandike kwenye karatasi ya kujibia uliyopewa
1. Wingi wa neon uteo ni nini?
Katika swali la 21-30, andika jibu sahili la kila swali.
21. Watoto wa mfalme ni rahisi kujificha” Jibu la kitendawili hiki ni………..
Soma kifungu kifuatacho kwa makini kasha jibu maswali 31-40.
Jua lilikuwa linaunguza mithili ya moto. Hapakuwa na nyasi wala miti iliyokuwa na majani ya rangi ya kijani.Kila uoto ulikuwa wa rangi ya kahawia kavu! Aidha kupata tone la maji ya kunywa ilikuwa ndoto kwani mito na visima vyote vilikauka kau.Baada kuhangaika kwa njaa na kiu, ndipo wanyama waliamua waitishe mkutano ili wajadili hatua ya kuchukua. Makundi • ya wanyama wa aina mbalimbali walikutana chini ya mbuyu. Swala, nyani, mbawa na tembo wote walikuwepo.
"Kama mjuavyo mimi ndimi mfalme wa wanyama wote.Niungurumapo hapana achezae kwa hiyo bila shaka mtakubali kuwa mimi ndiye mwenyekiti wa mkutano huu."alitangaza simba.Wanyama wote walitazamana na kutikisa vichwa kwa ishara ya kuafiki. Kisha alisimama na kusema "Mheshimiwa mwenyekiú, jana nilisikia mlindimo toka upande wa magharibi. Hivyo ninashauri sote tuhame na kuelekea upande huo ili tuokoe maisha yetu kwani huko kuna dalili ya mvua."Wanyama wote waliunga mkono hoja hiyo,isipokuwa kobe ambaye alisema, "mheshimiwa mwenyekiti, endapo kweli tumeazimia kuhama, sisi akina kobe tunaomba mtubebe kwani kasi yetu ya kutembea ni ndogo mno."
Baada ya kila mnyama kutoa rai yake ,Mwenyekiti alisimama na kusema, "Nimesikia yote mliyosema, kabla ya kuanza kuhama nakutuma wewe ngombe upeleke ujumbe wetu kwa binadamu ili waache kuharibu mazingira, kwani hicho ndicho kiini cha matatizo yanayotusibu.Wewe ni kiungo baina yetu na binadamu." ngombe alikubali.
Baada ya kufika ujumbe ule, binadamu alijibu kuwa alikwishaelewa tatizo Ia mazingira na tayari alikuwa na mpango kabambe wa kuchinja mifugo yote ili kutekeleza ushauri wa wataalamu wa mazingira wa kuiokoa dunia na janga Ia jangwa. Kusikia hivyo ngombe alichanja mbuga kuelekea kwa wanyama wengine.
31. Kwa mujibu wa habari uliyo soma, mkutano wa wanyama ulifanyika wapi?
Soma kwa makini shairi lifuatalo kisha jibu maswali 41 - 46 kwa kuweka kivuli katika herufiya jibu.
Nimekwisha peleleza, karibu kila mahali,
Mule wanamotangaza, matangazo lugha mbili, Juu kuwa Kingereza, Chini kuwa Kiswahili, Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
Kitangazwe Kingereza, baada ya Kiswahili
Hivi tutapotimiza, lugha itakuwa ghali,
Hivi mnavyofanyiza, sana mnaidhalili,
Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza
Serikali bembeleza, tafakari tafadhali,
Jambo hili kueleza, kwa zingine serikali Kiswahili kutangaza, kuwa Chini twakidhili Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
Tuache kukipumbaza, kwa andiko au kauli, Kwa nyuma kukisogeza, kukipa kisulisuli,
Lazima kuyafukuza, yawezayo kikatili,
Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza
Na wenyewe kujikaza, kwa bidii za kimwili kiswahili kutukuza, tukivalie bangili,
Ngomani kutumbuiza, waume na wanawali Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
41. Katika shairi hilo mstari wa pili katika ubeti wa pili una mizani mingapi?
Panga sentensi nne (4) zifuatazo hili ziwe kwa mtiririko wenye mantiki kwa kuzipa herufi A, B,C na D.
47. Zizi hilo limegawanywa katika sehemu mbili
48. Baba yangu anafuga mbuzi Ng’ombe na kondoo
49. Nje ya nyumba yetu kuna zizi kubwa
50. Sehemu moja ni ya ngo’ombe na nyingine ni ya mbuzi na kondoo.
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SABA
MUDA: 1.30 DARASA LA VII
MAELEKEZO
- Karatasi hii ina kurasa nne zenye maandishi yenye sehemu A,B, C,D na E zenye maswali arobaini na tano (45).
- Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
- Kumbuka kuandika majina yako, na shule yako kwenye karatasi ya kujibia.
- Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
- Tumia kalamu ya wino wa bluu au nyeusi kwa maswali yote uliyopewa.
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha uiandike kwenye karatasi ya kujibia uliyopewa
1. Wingi wa neon uteo ni nini?
- Mateo
- Teo
- Uteo
- Mauteo
- Lungo.
- Kutenda
- Kutendwa
- Kutendewa
- Kutendeka
- Kutendesha
- Mipaka
- Paka
- Mapaka
- Vipaka
- Wapaka.
- Tunu
- Sudi
- Shani
- Hiba
- Hidaya
- Fikiri
- Dodosa
- Uliza
- Hoji
- Saili
- Haraka
- Muda mrefu
- Karibuni
- Kwa pupa
- Kwa haraka
- Kielezi
- Kivumishi
- Kiunganishi
- Nomino
- Kitenzi
- Boharia
- Baharia
- Bawaba
- Banati
- Bawabu
- Maji
- Maziwa
- Soda
- Juisi
- Samli
- Mvi
- Sharafa
- Ndevu
- Sharubu
- Kope
- Mto
- Ziwa
- Bwawa
- Josho
- Joshi
- Kuwapaka samaki chumvi
- Kuondoa magamba ya samaki
- Kuondoa mifupa katika samaki
- Kukausha samaki kwa moto
- Kuwakata samaki vipande vipande.
- Mtondo
- Mtondo kutwa
- Mtondogoo
- Kesho kutwa
- Mtondogoo kutwa
- Kusemwa
- Kunong’onezwa
- Kuelezwa
- Kusengenywa
- Kuonywa
- Ulezi
- Mpunga
- Ngano
- Mahindi
- Mtama
- Chokaa
- Angavu
- Theluji
- Ukunga
- Angaza
- Nzige
- Nyuki
- Inzi
- Kipepeo
- Buibui
- Pigia
- Pigwa
- Pigika
- Pigiwa
- Pigana
- Kielezi
- Kivumishi
- Kitenzi
- Kiwakilishi
- Nomino
- Amenunua gari mashaka
- Mashaka gari amenunua
- Amenunua mashaka gari
- Mashaka amenunua gari
- Gari amenunua mashaka.
Katika swali la 21-30, andika jibu sahili la kila swali.
21. Watoto wa mfalme ni rahisi kujificha” Jibu la kitendawili hiki ni………..
- Macho
- Vifaranga
- Siafu
- Mvi
- Sungura
- Kujikwaa ulimi
- Kuumia moyo
- Kuzama majini
- Kufa moyo
- Kufa jicho moja
- Ng’ombe
- Nyuki
- Mbuzi
- Muwa
- Kuku
- Hoi
- Buheri
- Buheli
- Mzuri
- Mwingi
- Mbalika
- Nzi
- Mhindi
- Embe
- Mtama
- Hualika watu wengi
- Hufanya maandalizi mengi
- Huimba nyimbo nyingi
- Ngozi huvutia kwake
- Hucheza na jamaa zake
- Kikombe
- Kata
- Kinywa
- Kibatari
- Mtungi
- Haba na haba hujaza kibaba
- Fuata nyuki ule asali
- Awali ni awali hakuna awali mbovu
- Mchumia juani hulia kivulini
- Baada ya dhiki faraja
- Bidii huleta maafanikio
- Mafanikio ni matokeo ya kazi
- Bidii huleta faraja
- Bidii ni kazi ya kuhangaika
- Mafanikio ni ya lazima.
- Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
- Kiburi si maungwana
- Motto mkaidi mngoje siku ya ngoma
- Mkaidi hafaidi mpaka siku ya idi
- Mt0to mwerevu hafunzi adabu
Soma kifungu kifuatacho kwa makini kasha jibu maswali 31-40.
Jua lilikuwa linaunguza mithili ya moto. Hapakuwa na nyasi wala miti iliyokuwa na majani ya rangi ya kijani.Kila uoto ulikuwa wa rangi ya kahawia kavu! Aidha kupata tone la maji ya kunywa ilikuwa ndoto kwani mito na visima vyote vilikauka kau.Baada kuhangaika kwa njaa na kiu, ndipo wanyama waliamua waitishe mkutano ili wajadili hatua ya kuchukua. Makundi • ya wanyama wa aina mbalimbali walikutana chini ya mbuyu. Swala, nyani, mbawa na tembo wote walikuwepo.
"Kama mjuavyo mimi ndimi mfalme wa wanyama wote.Niungurumapo hapana achezae kwa hiyo bila shaka mtakubali kuwa mimi ndiye mwenyekiti wa mkutano huu."alitangaza simba.Wanyama wote walitazamana na kutikisa vichwa kwa ishara ya kuafiki. Kisha alisimama na kusema "Mheshimiwa mwenyekiú, jana nilisikia mlindimo toka upande wa magharibi. Hivyo ninashauri sote tuhame na kuelekea upande huo ili tuokoe maisha yetu kwani huko kuna dalili ya mvua."Wanyama wote waliunga mkono hoja hiyo,isipokuwa kobe ambaye alisema, "mheshimiwa mwenyekiti, endapo kweli tumeazimia kuhama, sisi akina kobe tunaomba mtubebe kwani kasi yetu ya kutembea ni ndogo mno."
Baada ya kila mnyama kutoa rai yake ,Mwenyekiti alisimama na kusema, "Nimesikia yote mliyosema, kabla ya kuanza kuhama nakutuma wewe ngombe upeleke ujumbe wetu kwa binadamu ili waache kuharibu mazingira, kwani hicho ndicho kiini cha matatizo yanayotusibu.Wewe ni kiungo baina yetu na binadamu." ngombe alikubali.
Baada ya kufika ujumbe ule, binadamu alijibu kuwa alikwishaelewa tatizo Ia mazingira na tayari alikuwa na mpango kabambe wa kuchinja mifugo yote ili kutekeleza ushauri wa wataalamu wa mazingira wa kuiokoa dunia na janga Ia jangwa. Kusikia hivyo ngombe alichanja mbuga kuelekea kwa wanyama wengine.
31. Kwa mujibu wa habari uliyo soma, mkutano wa wanyama ulifanyika wapi?
- Kwa mfalme
- Kisimani
- Chini ya mbuyu D.
- Kwenye majani
- Jangwani.
- Ng ombe
- Kobe
- Nyati
- Simba
- Nyani
- Ukame
- Uoto
- Kahawia
- loto
- Janga.
- Ndovu B.
- Ngwena
- Mbega
- Kima
- Mbogo.
- alikuwa mpinzani wa mwenyekiti ,
- aliogopa kuachwa nyuma,
- kulikuwa na jua kali
- wanyama wengine wangeweza kumla,
- kobe ni mvivu kutembea.
- tembo
- mbawala
- swala
- binadamu
- nyani.
- Maafa
- Kiu
- Ukame
- angwa
- Joto.
- Alijirudi
- Alitembea
- Alikimbia
- Alirudi
- Aliruka
- Wanyama pori wote
- Ngombe na simba
- Wanyama wadogo wote
- Wanyama wakubwa wote
- Wanyama wote wanaofugwa
- Kiangazi na jangwa
- Matatizo ya binadamu
- Jua kali
- Uhamisho wa wanyama
- Uharibifu wa mazingira
Soma kwa makini shairi lifuatalo kisha jibu maswali 41 - 46 kwa kuweka kivuli katika herufiya jibu.
Nimekwisha peleleza, karibu kila mahali,
Mule wanamotangaza, matangazo lugha mbili, Juu kuwa Kingereza, Chini kuwa Kiswahili, Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
Kitangazwe Kingereza, baada ya Kiswahili
Hivi tutapotimiza, lugha itakuwa ghali,
Hivi mnavyofanyiza, sana mnaidhalili,
Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza
Serikali bembeleza, tafakari tafadhali,
Jambo hili kueleza, kwa zingine serikali Kiswahili kutangaza, kuwa Chini twakidhili Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
Tuache kukipumbaza, kwa andiko au kauli, Kwa nyuma kukisogeza, kukipa kisulisuli,
Lazima kuyafukuza, yawezayo kikatili,
Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza
Na wenyewe kujikaza, kwa bidii za kimwili kiswahili kutukuza, tukivalie bangili,
Ngomani kutumbuiza, waume na wanawali Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza.
41. Katika shairi hilo mstari wa pili katika ubeti wa pili una mizani mingapi?
- Tano
- mbili
- kumi na sita
- nane
- thelathini na tatu
- Za na li
- La na li
- La na ya
- Ju na za
- Tu na li
- Nimekwisha peleleza, karibu kila mahali
- Kitangazwe Kingereza, badala ya Kiswahili
- Serikali bembeleza, tafakari tafadhali
- Tuache kukipumbaza, kwa andiko na kauli
- Juu kiwe Kiswahili, Chini kiwe Kingereza
- Kudumisha na kuendeleza mila
- Kudumisha na kuendeleza jadi zetu
- Kudumisha lugha ya Kingereza
- Kudumisha na kuendeleza Kiswahili
- Kudumisha na kuendeleza lugha
- Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
- Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
- Mkono usioweza kuukata ubusu.
- Ukitaka cha uvunguni sharti uiname.
- Ukipata chungu kipya usitupe cha zamani.
- Shutumu
- Laumu
- Heshimu
- Fadhaisha
- Kasirisha
Panga sentensi nne (4) zifuatazo hili ziwe kwa mtiririko wenye mantiki kwa kuzipa herufi A, B,C na D.
47. Zizi hilo limegawanywa katika sehemu mbili
48. Baba yangu anafuga mbuzi Ng’ombe na kondoo
49. Nje ya nyumba yetu kuna zizi kubwa
50. Sehemu moja ni ya ngo’ombe na nyingine ni ya mbuzi na kondoo.
STANDARD SEVEN KISWAHILI EXAM SERIES 8
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SEVEN
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
Choose the words that complete the sentences by shading the letters of the correct answer.
1. He always ………………………………..when he was young
31. A person who meants shows is called
Arrange the following sentences to give a meaningful sentences by giving them letters A-D.
38. While in Dar es salaam, they wrote about what they have seen
39. When they returned home, they told their friends about their enjoyable journey
40. Ali and his friends were excited by their trip to Dar es salaam Trade Fair
41. At the fair, they saw a lot of displays
SECTION D. COMPREHENSION
Read the following passage carefully and then answer the questions that Follow.
Lilato had a dream. He dreamt that someone gave him an egg. He was very happy and started wondering what to do with it. He thought of either eating it or keeping it in his pocket so that it would be warm and finally hatch and become a chick.
He thought of how this chick would grow into a hen and lay more eggs which will also hatch into more chickens. He would then sell some of those chickens and become a rich man. After getting a lot of money, Lilato thought of building an iron roofed house with glass windows. It would be a beautiful and big house.
While dreaming, Lilato walked excitedly. He jumped and the egg fell from his pocket and broke. He cried, saying that he will never be a rich man. Suddenly, he woke up and thanked God that it was only a dream.
42. Lilato decided to……………………the eggs
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SEVEN
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
- This paper consists of three sections A, B,C and D
- Answer all questions in all sections
- All answers should be written in spaces provided
- Ensure clarity in your work
Choose the words that complete the sentences by shading the letters of the correct answer.
1. He always ………………………………..when he was young
- Cry
- Cries
- Cried
- Crying
- Does cry
- Was killed
- Had killed
- Were killed
- Was kill
- Have killed.
- Work
- Worked
- Had worked
- Was working
- Works
- Nephew
- Child
- Niece
- Uncle
- Daughter
- Which
- Whose
- What
- Whom
- Who
- By
- With
- Using
- In
- On
- Are they?
- Do they?
- They do?
- Aren’t they?
- Don’t they?
- All of
- More of
- Either
- Both
- Each.
- Since
- For
- Against
- Fore
- Until
- Was shown
- Show
- Has shown
- Are showing
- Is shown.
- Is planting
- Are planting
- Are planted
- Will plant
- Was planting.
- Is breaking
- Broke
- Will broke
- Was breaking
- Has broken
- More dirty
- Dirtiest
- Dirtier
- Most dirty
- Dirty.
- Sank
- Is sinking
- Sinks
- Was sinking
- Sunk.
- Should
- Could
- Would
- Ought
- Shall.
- Were arranged
- Was arranged
- Were arranging
- Arrange
- Arranges.
- Is
- Are
- Were
- Has
- Shall
- Both
- Too
- Either
- Neither
- As
- hers
- his
- theirs
- mine
- my
- destroys
- destroyed
- destroying
- will destroy
- have destroyed
- destroys
- destroyed
- destroying
- will destroy
- have destroyed
- destroys
- destroyed
- destroying
- will destroy
- have destroyed
- ore
- most
- less
- not very
- a little
- Inspite of
- despite
- even
- but
- because
- have not did
- has not done
- have not do
- have not done
- have did
- has taken
- will take
- shall take
- take
- have taken
- but
- because
- even
- unless
- and.
- themself
- themselves
- theirselves
- yourselves
- ourselves
- it
- you
- she
- he
- her
- with
- by
- from
- of
- for.
31. A person who meants shows is called
- Shoe maker
- Tailor
- Sewer
- Cobbler
- Pedestrian
- Weapon
- Fire work
- Fire wood
- Hot pot
- Knife.
- An eye doctor
- A chemist
- An optician
- A surgeon
- A dentist
- Shop
- Court
- Church
- Hospital
- Farm
- Chemical
- Medicines
- Liquids
- Minerals
- Ores
- Troop
- Flock
- Herd
- fleet
- bunch
- Doctor
- Butchery
- Butcher
- Shopkeeper
- Seller
Arrange the following sentences to give a meaningful sentences by giving them letters A-D.
38. While in Dar es salaam, they wrote about what they have seen
39. When they returned home, they told their friends about their enjoyable journey
40. Ali and his friends were excited by their trip to Dar es salaam Trade Fair
41. At the fair, they saw a lot of displays
SECTION D. COMPREHENSION
Read the following passage carefully and then answer the questions that Follow.
Lilato had a dream. He dreamt that someone gave him an egg. He was very happy and started wondering what to do with it. He thought of either eating it or keeping it in his pocket so that it would be warm and finally hatch and become a chick.
He thought of how this chick would grow into a hen and lay more eggs which will also hatch into more chickens. He would then sell some of those chickens and become a rich man. After getting a lot of money, Lilato thought of building an iron roofed house with glass windows. It would be a beautiful and big house.
While dreaming, Lilato walked excitedly. He jumped and the egg fell from his pocket and broke. He cried, saying that he will never be a rich man. Suddenly, he woke up and thanked God that it was only a dream.
42. Lilato decided to……………………the eggs
- Keep
- Sell
- Hide
- Eat
- throw
- Sleeping
- Walking
- Sitting
- Resting
- Wondering
- A big house
- Iron sheets
- A chicken
- An egg
- A chick.
- Selling eggs and chicken
- Building a big house
- Selling a big house
- Keeping a big house
- Keeping eggs.
No comments:
Post a Comment