EXAM SERIES EXAM
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 13
STANDARD FOUR MAARIFA EXAM SERIES 12
STANDARD FOUR SOCIAL EXAM SERIES 11
STANDARD FOUR SCIENCE EXAM SERIES 10
STANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 9
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30
MAELEZO KWA MTAHINIWA
(i) Rangi ya kijani katika mimea huitwa
5. Sehemu E. Andika vifaa vinne nyumbani ambavyo hutumia nishati ya umeme
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30
MAELEZO KWA MTAHINIWA
- MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
- JIBU MASWALI YOTE
- ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
- KAZI YAKO IWE SAFI.
(i) Rangi ya kijani katika mimea huitwa
- usasini
- umbijani
- usasini nuru
- majani
- Jenereta.
- Jua.
- Sufuria
- Betri.
- Malaria
- Kichocho
- Homa ya matumbo
- Kipindupindu
- Kuku, popo, mamba
- Bata, chura, mbwa.
- Kuku, bata, mbu
- Popo, kinyonga na kuku
- Mnunurisho na msafara
- Mpitisho na msafara
- Myuko na mpitisho
- Mgandamizo wa hewa
- Jua ni chanzo kuku cha……….duniana
- Mwanga husafiri katika mstari……………………………
- Kifaa kinachotumika kunyoosha nguo na kuzifanya zionekane nadhifu huitwa…… …………..
- Sauti iliyoakisiwa huitwa………………………
- Maji yakichemshwa hubadilikana kuwa………………….
- Selihai nyeupe za damuhulinda miili yetu dhidi ya magonjwa……
- Inafaa kumtenga mtu wa ukimwi na watu wengine…………………
- Nyeso daraja la tatu, jitihadi huwa kati ya egemeo na mzigo………..
- Kifua kikuu huambukizwa kwa kunywa maji yasio salama…….
- Huduma ya kwanza hutolewa kulingana na aina ya tatizo………..
Sehemu A | Sehemu B |
|
|
- ………………………………………………………………………………………………
- ………………………………………………………………………………………………
- ……………………………………………………………………………………………....
- ………………………………………………………………………………………………
- ………………………………………………………………………………………………
STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 13
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30
MAELEZO KWA MTAHINIWA
(i) Mgawanyo wa kazi katika familia…………….
5. Sehemu E.
Jaza nafasi zilizoachwa wazi.
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30
MAELEZO KWA MTAHINIWA
- MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
- JIBU MASWALI YOTE
- ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
- KAZI YAKO IWE SAFI.
(i) Mgawanyo wa kazi katika familia…………….
- Hupunguza uvivu
- Hupunguza uadui
- Hurahisisha kazi
- Hupunguza marafiki
- Kulima
- Kukata miti
- Kupanda maua
- Ufugaji wa nyuki
- Unyamwezi
- Pwani
- Uchagani
- iringa
- Shamu,pasifiki,kusi na hindi
- Hindi, antaktiki, shamu na kati
- Pasifiki, kati, shamu, antaktiki
- Hindi, atlantik, shamu na kati
- Barabara, mji, kijiji
- Kitambaa, ubao ardhini
- Nyumba, shule au njia
- Daftari, uwanja au chombo
- Joto la binadamu upimwa kwa kifaa kinaitwa…………………………..
- Mojawapoya madhara ya mvua nyingi ni………………………………….
- Vipengele vine vya hali ya hewa ni…………………………………………..
- Hali ya hewa inabadilika………………………………………………………..
- Sehemu panapotengenezwa na kuundia vitu panaitwa……………
- Vumbi na moshi huchafua hewa………………..
- Chanzo chamvua ni mvuke upaao angani
- Tufuge mifugo mingi ili tuepuke uharibifu wa mazingira……………
- Bila uoto, binadamu hawezi kupata mahitaji yake ya msingi ya maisha………….
- Ukeketaji ni mojawapo wa mila zinazofaa………….
Sehemu A | Sehemu B |
|
|
Jaza nafasi zilizoachwa wazi.
- Fuvu la mtu wa kale zaidi liligunduliwa na………………………
- Zama za ……………………..zimegawanyika katika sehemu tatu kuu.
- Wahunzi walijitokeza wakati wa zama za…………………………………
- Binadamu alianza kutembea kwa miguu miwili katika zama za mawe za…………… …………..
- Binadamu alianza kuishi katika makazi ya kudumu katika zama za mawe za………… …………….
STANDARD FOUR MAARIFA EXAM SERIES 12
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:____________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
1. Choose the most correct answer and then write its letter in the box given.
1. Abushiri bin Salum, Mtemi Isike and Mtwa Mkwawa were the popular ____ found in Tanganyika.
2. Match the following items correctly
SECTION C:
3. Use words in the box to fill the blanks below
and harmony. There are some things which have been experienced for long period of time called .These are inherited from one generation to another. Elders help young ones to know the accepted ways of people’s behaviours in their society
known as________ and those habits or things which are not allowed to be
done called_______ . Community members have one means of communication
but they may decide worshipping in different . Several production activities and creativities may be done with the society. Some may engage themselves in farms and others in creating different artistic tools. Dressing styles are advised to be of good morals.
SECTION D
WRITE TRUE OR FALSE IN THE GAPS
4. The son of your uncle is a nephew……………..
5. Chief mkwawa was a leader of chagga people…………
6. A local museum is found in big towns in Tanzania………….
7. Communalism was the first mode of production………………..
8. Some clans were headed by women…………
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:____________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
- This examination has 5 sections A, B, C and D with 5 questions
- Answer all questions in each section.
- All answers should be written in capital letters.
- Write your three names, school, District and Region.
- Make sure your work is neat.
1. Choose the most correct answer and then write its letter in the box given.
1. Abushiri bin Salum, Mtemi Isike and Mtwa Mkwawa were the popular ____ found in Tanganyika.
- opposers
- heroes
- soldiers
- priests [ ]
- tenants
- bagabire
- land lord
- ruling class [ ]
- temperature
- degree centigrade
- thermometer
- precipitation
- A hamlet
- a street
- a village
- a city [ ]
- overstocking
- bush fires
- uncontrolled sewages from industries
- recycling process [ ]
- Earths revolution
- lunar eclipse
- deforestation
- earth rotation
- Mount Kilimanjaro
- Kenya
- south Africa
- Tanzania
- traditional and modern
- small and big
- natural and man made
- topographical and statistical
2. Match the following items correctly
LIST A | LIST B |
|
|
3. Use words in the box to fill the blanks below
Taboos, culture, customs, traditions, religion, language,
dressing, arts
(i) _______ being the totality way of people’s life makes people live in peacedressing, arts
and harmony. There are some things which have been experienced for long period of time called .These are inherited from one generation to another. Elders help young ones to know the accepted ways of people’s behaviours in their society
known as________ and those habits or things which are not allowed to be
done called_______ . Community members have one means of communication
but they may decide worshipping in different . Several production activities and creativities may be done with the society. Some may engage themselves in farms and others in creating different artistic tools. Dressing styles are advised to be of good morals.
SECTION D
WRITE TRUE OR FALSE IN THE GAPS
4. The son of your uncle is a nephew……………..
5. Chief mkwawa was a leader of chagga people…………
6. A local museum is found in big towns in Tanzania………….
7. Communalism was the first mode of production………………..
8. Some clans were headed by women…………
STANDARD FOUR SOCIAL EXAM SERIES 11
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
1. Answer items (1) –(5) by choosing the correct answer and writing its letter in the boxes provided
1. Sharing sharp objects such as razor blade, needles and syringes may cause;
Answer the questions items (i) –(ii) by matching the description of parts of the radio which are in List “A” and the parts of the radio which are in List “B”
SECTION C.
11. Which instrument helps to select the channels on TV and to turn the TV on?.....................
12. Which one is a modern method of electronic learning in schools?.........
13. ……………..is used to keep our food and drinks cold.
14. A device used for preparing, cooking and drying food is……………..
15. The type of cooker in which three stones are arranged in such a way that a pot or utensil sit on them is called………………………………….
SECTION D.
Write true for a correct statement and false for incorrect statement..
16. Not all animals needs water to survive…………..
17. Once a plant gets light, it does not need suitable temperature.
18. You can get scientific solution by oral work………..
19. Plants obtain water from the soil………….
20. Development in science and technology depends much on scientific investigation ………………
SECTION E.
Answer the following questions briefly.
21. Name two communicable diseases
22. What organism causes malaria?
23. Name a disease that affect respiratory system
24. What is a balanced diet
25. Name the food that protects us from diseases.
SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
- This examination has 5 sections A and B with 5 questions
- Answer all questions in each section.
- All answers should be written in capital letters.
- Write your three names, school, District and Region.
- Make sure your work is neat.
1. Answer items (1) –(5) by choosing the correct answer and writing its letter in the boxes provided
1. Sharing sharp objects such as razor blade, needles and syringes may cause;
- Cholera
- Tuberculosis
- Malaria
- HIV/AIDS.
- Mouth
- Ileum
- Stomach
- Colon.
- Hygiene
- Health
- Patient
- Disease
- Light travels in a straight line
- Light can bend
- Light can be reflected
- Light cannot bend
- Vegetable
- Fruits
- Protein
- Vitamins.
Answer the questions items (i) –(ii) by matching the description of parts of the radio which are in List “A” and the parts of the radio which are in List “B”
LIST A | LIST B |
6. Used to search station 7. Used to catch waves 8. Used to carry the radio 9. It outputs sound 10. Used to put on radio |
|
Refrigerator, cooker, ICT, Firewood, Stove, Remote control
Answer the questions in items below by choosing the correct word from the box and write it in the blank spaces.11. Which instrument helps to select the channels on TV and to turn the TV on?.....................
12. Which one is a modern method of electronic learning in schools?.........
13. ……………..is used to keep our food and drinks cold.
14. A device used for preparing, cooking and drying food is……………..
15. The type of cooker in which three stones are arranged in such a way that a pot or utensil sit on them is called………………………………….
SECTION D.
Write true for a correct statement and false for incorrect statement..
16. Not all animals needs water to survive…………..
17. Once a plant gets light, it does not need suitable temperature.
18. You can get scientific solution by oral work………..
19. Plants obtain water from the soil………….
20. Development in science and technology depends much on scientific investigation ………………
SECTION E.
Answer the following questions briefly.
21. Name two communicable diseases
22. What organism causes malaria?
23. Name a disease that affect respiratory system
24. What is a balanced diet
25. Name the food that protects us from diseases.
STANDARD FOUR SCIENCE EXAM SERIES 10
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MWISHO MWAKA-KISWAHILI
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30 2020
JINA:_______________________________MKONDO:___________
MAELEKEZO
IMLA:
Sikiliza kwa makini sentensi utakazosomewa kisha uziandike kwa usahihi
Chagua herufi ya jibu sahihi
6. Neno lipi halilandani na mengine
11. Malizia methali hii, Ukitaka kuruka _________________
12. Japo kuna maktaba nyumbani kwao lakini Joni hapendi kukaa na kujisomea, mara nyingi Juma huenda kwa akina Joni kuomba muda japo kidogo apate kusoma vitabu. Juma anatamani mno kuwe na maktaba nyumbani kwao lakini wazazi wake hawana uwezo huo. Methali ipi inafaa kwa maelezo haya
13. Mwenyekiti ameahirisha kikao baada ya wajumbe kuja wamevaa miwani,
nahau vaa miwani ina maana gani?
14. Andika nahau iliyo kinyume na ile isemayo tia moyo____________
SEHEMU D: UTUNGAJI
Weka alama za uandishi katika sentensi zifuatazo kwa kuandika alama sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi
15. Utamaliza kazi yako saa ngapi ______________
16. Ebo amemaliza ugali wote ule………………..
17. Juma Sharifu na Ayubu wamegombana…………..
18. Shangazi amekwenda kumpokea baba___________
19. Watoto wataletwa na nani………….
SEHEMU E: UFAHAMU
Soma habari ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo
Tulianza safari alfajiri ya saa kumi na moja.Ulikuwa ni umbali wa kilomita
sitini kutoka pwani hadi kwenye mazalia ya samaki. Baada ya kufika mjengi alitushauri tutege nyavu chache tu kwani hali ya hewa haikuridhisha. Baada ya kutega tulianza safari ya kurudi pwani . Ghafla tulipigwa na dhoruba . Jahazi
lilianza kuyumba na tanga letu likararuka. Haraka mimi na Mwekwa tulitweka tanga la akiba na kulifunga chapuchapu. Msengi na Hongoa walichukua buli na kuanza kutoa maji yaliyokuwa yanaingia jahazini. Tulipata shida mno, baada ya siku mbili majini tuliwasili salama pwani. Tuliponea chupuchupu, tulikata tamaa na kusubiri miujiza ya Maulana ili tubaki hai.
MASWALI
20. Msimuliaji wa habari hii na wenzake wanafanya kazi gani? __________
21. Kulikuwa na watu wangapi katika jahazi ?__________
22. Kitambaa maalumu kinachofungwa katika jahazi ili kulisaidia kutembea kinaitwaje?_________
23. Andika nahau moja iliyotumika katika habari hii _________
24. Taja kisawe cha neno Maulana kama lilivyotumika katika habari hii
MTIHANI WA MWISHO MWAKA-KISWAHILI
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30 2020
JINA:_______________________________MKONDO:___________
MAELEKEZO
- Mtihani huu una sehemu A, B, C, D na E zenye jumla ya maswali 5
- Jibu maswali yote katika kila sehemu.
- Majibu yote yaandikwe kwa herufi kubwa ISIPOKUWA Imla.
- Andika majina yako matatu, shule, wilaya na mkoa kwa usahihi.
- Hakikisha kazi yako ni safi.
IMLA:
Sikiliza kwa makini sentensi utakazosomewa kisha uziandike kwa usahihi
- .
- .
- .
- .
- .
Chagua herufi ya jibu sahihi
6. Neno lipi halilandani na mengine
- Mawio
- Macheo
- Machweo
- masika
- Nchi
- Mwana
- Mchi
- mwamko
- Mjomba
- Binamu
- Mpwa
- ajuza
- sina budi
- hamna budi
- hawana budi
- hatuna budi
- ingawa
- isipokuwa
- pamoja
- lakini
11. Malizia methali hii, Ukitaka kuruka _________________
12. Japo kuna maktaba nyumbani kwao lakini Joni hapendi kukaa na kujisomea, mara nyingi Juma huenda kwa akina Joni kuomba muda japo kidogo apate kusoma vitabu. Juma anatamani mno kuwe na maktaba nyumbani kwao lakini wazazi wake hawana uwezo huo. Methali ipi inafaa kwa maelezo haya
13. Mwenyekiti ameahirisha kikao baada ya wajumbe kuja wamevaa miwani,
nahau vaa miwani ina maana gani?
14. Andika nahau iliyo kinyume na ile isemayo tia moyo____________
SEHEMU D: UTUNGAJI
Weka alama za uandishi katika sentensi zifuatazo kwa kuandika alama sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi
15. Utamaliza kazi yako saa ngapi ______________
16. Ebo amemaliza ugali wote ule………………..
17. Juma Sharifu na Ayubu wamegombana…………..
18. Shangazi amekwenda kumpokea baba___________
19. Watoto wataletwa na nani………….
SEHEMU E: UFAHAMU
Soma habari ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo
Tulianza safari alfajiri ya saa kumi na moja.Ulikuwa ni umbali wa kilomita
sitini kutoka pwani hadi kwenye mazalia ya samaki. Baada ya kufika mjengi alitushauri tutege nyavu chache tu kwani hali ya hewa haikuridhisha. Baada ya kutega tulianza safari ya kurudi pwani . Ghafla tulipigwa na dhoruba . Jahazi
lilianza kuyumba na tanga letu likararuka. Haraka mimi na Mwekwa tulitweka tanga la akiba na kulifunga chapuchapu. Msengi na Hongoa walichukua buli na kuanza kutoa maji yaliyokuwa yanaingia jahazini. Tulipata shida mno, baada ya siku mbili majini tuliwasili salama pwani. Tuliponea chupuchupu, tulikata tamaa na kusubiri miujiza ya Maulana ili tubaki hai.
MASWALI
20. Msimuliaji wa habari hii na wenzake wanafanya kazi gani? __________
21. Kulikuwa na watu wangapi katika jahazi ?__________
22. Kitambaa maalumu kinachofungwa katika jahazi ili kulisaidia kutembea kinaitwaje?_________
23. Andika nahau moja iliyotumika katika habari hii _________
24. Taja kisawe cha neno Maulana kama lilivyotumika katika habari hii
STANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 9
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
1. Listen carefully to the teacher then write the words or sentences correctly
2. Use words given in a box below to answer the questions in items (i-v) that follows.
3. Choose the most correct answer and write its letter in the box provided.
(i) The plural form of the word cattle is ______________________
4. Choose the correct word from the brackets provided in each question.
5. Read the passage bellow carefully then answer all questions that follow
Every Wednesday our teacher takes us to the library. Each pupil chooses a book to read at home. Charity likes to read books about animals. He finds a book about elephants on the book shelf.
Salustia knows how to use the computer. She wants to print a picture of Mount Kilimanjaro for her project. Oh: No! The printer has run out of ink. Our teacher gets ink from the cupboard. Now the printer is working again.
QUESTIONS.
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
- This examination has 5 sections A, B, C , D and E with 5 questions
- Answer all questions in each section.
- All answers should be written in capital letters EXCEPT dictation
- Write your three names, school, District and Region.
- Make sure your work is neat.
1. Listen carefully to the teacher then write the words or sentences correctly
- …………………………………………………………………………
- …………………………………………………………………………
- ………………………………………………………………………..
- …………………………………………………………………………
- …………………………………………………………………………
2. Use words given in a box below to answer the questions in items (i-v) that follows.
Dozen, nestlings, trumpets, green grocer, adjective, crockery, barber, cutlery, noun, pair, chatters
- She went to the shop and buy a________________ of shoes
- When we were at the park we heard elephants’_________
- Spoons, knives and forks are collectively called ________
- Slowly is to adverb as death is to____________________
- We normally go to the_____ to buy fruits, vegetables and other
items.
3. Choose the most correct answer and write its letter in the box provided.
(i) The plural form of the word cattle is ______________________
- Cattles
- Kettles
- Cattle
- kettle
- Whom
- Who
- What
- whose
- Did
- Do
- Done
- doing
- payed
- pay
- paid
- pays
4. Choose the correct word from the brackets provided in each question.
- Mount Kilimanjaro is the ………………..mountain in africa. (high, highest, higher)
- The shortest month in the year is……………(October, June, February)
- He goes to school………………….foot(on,by, with)
- Is there……….oil in the bottle?(any, a, an)
- A…………..makes and salesbread( shopkeeper,baker)
5. Read the passage bellow carefully then answer all questions that follow
Every Wednesday our teacher takes us to the library. Each pupil chooses a book to read at home. Charity likes to read books about animals. He finds a book about elephants on the book shelf.
Salustia knows how to use the computer. She wants to print a picture of Mount Kilimanjaro for her project. Oh: No! The printer has run out of ink. Our teacher gets ink from the cupboard. Now the printer is working again.
QUESTIONS.
- What did Salustia want to print? ______________________________
- Who takes children to the library? _____________________________
- Where is the book about elephants? ____________________________
- On which day of the week does the teacher send pupils to the library?
- How did the teacher help Salustia?
No comments:
Post a Comment