EXAM SERIES EXAM
STANDARD SIX URAIA EXAM SERIES 17
STANDARD SIX SAYANSI EXAM SERIES 16
STANDARD SIX MAARIFA EXAM SERIES 15
STANDARD SIX SOCIAL EXAM SERIES 14
STANDARD SIX SCIENCE EXAM SERIES 13
STANDARD SIX KISWAHILI EXAM SERIES 12
STANDARD SIX ENGLISH EXAM SERIES 11
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
URAIA NA MAADILI SIX- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
Chagua kibu sahihi, kisha andika herufi ya jibu sahihi katika nafasi ulioyoachwa hapo chini.
1. Msaidizi wa mkuu wa mkoa katika shughuli zake za utendaji ni nani?
Andika kweli au si kweli katika sentensi hizi.
36. Misingiya democrasiainazingatiahaki zabinadamu…………………….
37. Utawala wa democrasia unatambulika kwa kutii sheria za nchi pekee……..
38. Katika mfumo wademokrasia wananchi ni wapokeaji tu hawawajibiki kwa lolote
39. Wanawake hawana haki sawannawanaume katika mfumo wa demokrasia….
40. Uvumilivu wa kisiasa kwa vyama vyote hudumisha amani…………………..
41. Mtanzania anatakiwa kufanya biashara zake hapa nchi tu………….
42. Tanzania hunufaika na uhusiano wa kibalozi na mataifa mengine kiutamaduni…
43. Uhusiano wa Tanzania na Kenya umesaidia koboresha uchumi wa nchi hizi mbili
44. Ni marufuku kwa nchi iliyo nauchumi wachini kujiunga najumuiya yaa Africa Mashariki…
45. Taarifa zote za mitandao zinazingatia maadili…………………
SEHEMU C.
Oanisha maneno ya sehemu A na sentensi katika sehemu B ili kupata maana sahihi.
URAIA NA MAADILI SIX- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Mtihani huu una maswali 50
- Fanya maswali yote
- Andikamajibu yako katika nafasi iliyoachwa wazi.
- Hakikisha kazi yako ni safi.
Chagua kibu sahihi, kisha andika herufi ya jibu sahihi katika nafasi ulioyoachwa hapo chini.
1. Msaidizi wa mkuu wa mkoa katika shughuli zake za utendaji ni nani?
- ofisa elimu mkoa
- katibu tawala wa mkoa
- mkuu wa idara ya utawala na utumishi mkoa
- ofisa afya wa mkoa
- wenyeviti wa mtaa
- makatibu tawala
- madiwani wa halmashauri
- mtendaji wa kata
- Diwani
- Ofisa mtendaji wa kata
- Ofisa mazingira wa kata
- Ofisa maendeleo wa kata
- mkurugenzi wa halmashauri
- mkuu wa wilaya
- mkuu wa mkoa
- ofisa tawala wa wilaya
- kwa kupigiwa kura na madiwani
- kwa kuajiriwa na menejimenti ya utumishi wa umma
- kwa kuteuliwa na rais
- kwa kupigiwa kura na wananchi katika halmashauri inayohusika
- Mwenyekiti wa Halmashauri
- Diwani wa viti maalum
- Katibu tawala
- Mkurugenzi wa Halmashauri.
- Katibu tawala mkoa
- Ofisa ugavi mkuu
- Mganga mfawidhi
- Mkaguzi wa ndani
- 3
- 5
- 4
- 2
- Ushabiki wa kitu au jambo unalolipenda
- Mtindo wa jumla wa maisha ya watu katika jamii au taifa Fulani
- Shughuli za asili zinazofanywa na watu
- Ngoma zinazochezwa na jamii Fulani.
- Twiga Tembo, Nembo ya taifa na sura ya rais
- Nembo , nyumbu na kifaru
- Mwenge , twiga na sokwe
- Ngao, Mkuki, Nyota
- Kutembelea katika ziara mbalimbali tu
- Kuonyesha mamlaka ya rais
- Kuhamasisha mwenge wa uhuru
- Kujigamba kwa wapinzani wake
- Fedha ya Tanzania
- Katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
- Vyama vya siasa
- Ilani ya CCM
- Watanzania
- Madini
- Maji ambayo ni mito, maziwa na bahari nchini Tanzania
- Amani na upendo
- Picha ya makamu wa rais
- Bendera ya taifa
- Nembo ya Taifa
- Twiga
- Bendera zote kupepea nusu mlingoti
- Bendera ya taifa kupepea nusu mlingoti
- Bendera ya taifa kutopandishwa kabisa siku ya tukio
- Wageni wengi kutoka nchi mbalimbali
- Siku za kukimbizwa mwenge wa uhuru tu
- Sikukuu ya mapinduzi ya Zanzibar tu
- Sikukuu za kitaifa
- Sikukuu ya mwaka mpya
- Kufanya kazi kwa ushirikiano
- Kuwakeketa wasichana
- Kuhamasisha wanaume na wanawake kushirikiana kufanya kazi za nyumbani hili kujiongezea kipato.
- Kurithi wajane ili wasipate shida
- Skauti, klabu za mazingira, klabu ya TAKUKURU. Klabu za masomo
- Upatu, ushirikiano na vyama vya siasa
- Skauti, singeli na ngoma za asili.
- Soka, ngoma za asili, na vyama vya siasa
- Wenye mahitaji maalum
- Ndugu wa karibu
- Watu wanotupenda
- Watu wote bila ubaguzi.
- Wazee
- Watoto
- Watu wenye ulemavu wa akili
- Yatima na maskini.
- Kupata hedhi
- Kupata mimba
- Uwezo wa kuzaa
- Kunyonyesha
- Kutoa elimu sawa kwa mtoto wa kike na kiume
- Kutambua kuwa mwanaume na mwanamke wote ni binadamu
- Majukumu ya jikoni kuachiwa wasichana
- Kutobagua wasichana katika elimu
- Kuongezeka kwa kimo
- Kuonyesha heshima zaidi
- Kupata hedhi
- Kuwa na mpenzi wa jinsia tofauti.
- Kuwa na marafiki waaminifu
- Kwenda disko na jamaa zao
- Kupokea zawadi kutoka kwa wavulana
- Kuepuka matembezi yasiyo ya lazima usiku.
- Yanaonyesha kujiheshimu
- Yanasaidia kuepuka magonjwa
- Ili tupendwe
- Ili tuvutie watu
- Maasai
- Wagogo
- Wanyasa
- Wasukuma
- Jinsia
- Kuvunja ungo
- Utu uzima
- Balehe
- Kuvalia nguo inayokustiri
- Kucheza na wavulana sehemu za uchochoro
- Kuwasalimia watu kwa heshima
- Kupenda watu wote
- ndugu na rafiki
- ukoo na kabila
- baba na mama
- watoto
- wazee na vijana
- Mkuu wa Wilaya.
- Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji.
- Afisa Mtendaji Kata.
- Mwenyekiti wa Wilaya wa Chama Tawala.
- Diwani wa Kata.
- Wakati wa ziara za viongozi wa mataifa mengine.
- Rais anapotangaza hali ya hatari.
- Linapotokea janga la kitaifa au tukio la huzuni.
- Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa wa Taifa.
- Rais anapokuwa nje ya nchi.

- kuimarisha demokrasia
- kukusanya kodi ya maendeleo
- kuimarisha polisi jamii
- kuboresha usafi wa miji
- kuongeza ajira
- ulinzi na usalama wa shule kuimarika
- ongezeko Ia idadi ya watoto wanaoandikishwa shule
- nafasi za ajira kwa jamii inayozunguka shule kuongezeka
- shughuli za biashara kuzunguka eneo Ia shule kuongezeka
- walimu wengi kupata nyumba za kupanga jirani na shule
- Baba na watoto.
- Baba, jamaa na marafiki.
- Watoto, mama na jirani
- Kila mtu katika familia
- Watoto, jamaa na marafiki
Andika kweli au si kweli katika sentensi hizi.
36. Misingiya democrasiainazingatiahaki zabinadamu…………………….
37. Utawala wa democrasia unatambulika kwa kutii sheria za nchi pekee……..
38. Katika mfumo wademokrasia wananchi ni wapokeaji tu hawawajibiki kwa lolote
39. Wanawake hawana haki sawannawanaume katika mfumo wa demokrasia….
40. Uvumilivu wa kisiasa kwa vyama vyote hudumisha amani…………………..
41. Mtanzania anatakiwa kufanya biashara zake hapa nchi tu………….
42. Tanzania hunufaika na uhusiano wa kibalozi na mataifa mengine kiutamaduni…
43. Uhusiano wa Tanzania na Kenya umesaidia koboresha uchumi wa nchi hizi mbili
44. Ni marufuku kwa nchi iliyo nauchumi wachini kujiunga najumuiya yaa Africa Mashariki…
45. Taarifa zote za mitandao zinazingatia maadili…………………
SEHEMU C.
Oanisha maneno ya sehemu A na sentensi katika sehemu B ili kupata maana sahihi.
SEHEMU A | SEHEMU B |
46. Ushirikiano wa kimataifa 47. Jumuiya ambazoTanzania ni mwanachama 48. Kudumisha uhusiano wa kimataifa 49. Hasaraza utandawazi 50. Umoja wa mataifa. |
|
STANDARD SIX URAIA EXAM SERIES 17
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
1. Ukuaji wa viumbe hai unahusu uongezekaji wa yafuatayo isiopokuwa;
41. Kirutubisho cha aina ya _____________ husaidia katika ukuaji wa maua.
42. Kirutubisho kinachosaidia katika ukuaji wa majani huitwa________________
43. Kirutubisho cha aina ya_________________ husaidia katika ukuaji wa mizizi
44. Maji na virutubisho husafirishwa kutoka kwenye mizizi hadi kwenye majani kwa njia ya___________
45. Kitendo cha mimea kujitengenezea chakula huitwa______________
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Mtihani huu unasehemu mbili
- Jibu maswali yote 45
- Hakikisha kazi yako ni safi
1. Ukuaji wa viumbe hai unahusu uongezekaji wa yafuatayo isiopokuwa;
- Kimo
- Uzani
- Unene
- Umbo la seli
- Gesi ya kabonidayoksaidi
- Maji
- Gesi ya Nitrojeni
- Mwanga na joto
- Kutengeneza chakula
- Kunasa nishati ya jua
- Kuchanganya maji na nishati ya jua
- Kupatia mmea rangi ya kujani
- Usanisi
- Fotosinthesis
- Usanisuru
- Husharabu
- Madini
- Maji
- Jua
- Hewa
- Moshi wa magari
- Shughuli za viwandani
- Ukataji miti
- Gesi ya kupikia.
- Kuyeyusha virutubisho
- Kubeba kabohaidreti kutoka kwenye majani kwenda kwenye sehemu zingine.
- Kufanya mimea kuwa imara
- Husaidia mimea kutengeneza chakula
- Potasi
- Naitrojeni
- Kolisiama
- Fosiforasi
- Floemi
- Zailemu
- Vinyelezi
- Vinywele
- Oksijeni
- Kabonidayoksaidi
- Nitrogen
- Agoni.
- Kabonidayoksaidi
- Agoni
- Oksijeni
- Nitrojeni
- Nitrojeni
- Agoni
- Kabonidayoksaidi
- Nioni
- Nitrojeni
- Kabonidayoksaidi
- Agoni
- Oksijeni
- Kuzima moto
- Kuhifadhi chakula
- Kuunguza
- Kusanisi chakula
- Agoni
- Helium
- Krypton
- Oksijeni
- Kuwasha moto
- Kutengeneza kula
- Kuhifadhi chakula
- Hospitali kwa wagonjwa waliozidiwa
- Agoni
- Nitrojeni
- Kabonidayoksaidi
- Amonia
- Ina harufu
- Haina rangi
- Haionekani
- Inachukua nafasi
- Oksijeni
- Hydrogeni
- Agoni
- Nitrojeni.
- joto na unyevu
- unyevu na mwanga
- upepo na mwanga wa jua
- mawingu na upepo
- unyevu na upepo
- mmea kukosa madini joto
- mmea kushindwa kusanisi chakula
- majani ya mmea kukauka
- majani ya mmea kuwa njano
- maj ani ya mmea kupukutika.
- osmosis
- difyusheni
- msukumo
- mgandamizo
- mjongeo
- Wadudu
- Mimea
- Wanyama
- Virusi
- Ndege
- Kusharabu madini ya chumvi.
- Kusharabu maji
- kushikilia mmea
- Kutengeneza chakula cha mmea
- Kutunza chakula cha mmea
- Kabondioksaidi
- Oksijeni
- Haidrojeni
- Kabonimonoksaidi
- Naitrojeni
- Miwa
- Magimbi
- Viazi
- Karoti
- Tangawizi..
- Epidamisi ya juu
- Epidamisi ya chini
- Seli linzi
- Stomata
- Selisafu za kati
- Kikonyo
- Lamina
- Kingo
- Kishipajani
- Vena kuu
- Mizizi
- Majani
- Shina
- Ua
- Jani
- Ndege
- Popo
- Mbu
- Kipepeo
- Panzi
- Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kuishi majini.
- Kutaga mayai, kuishi majini na kuishi nchi kavu.
- Kutaga mayai, kuwa na damu ya joto na kuishi nchi kavu.
- Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kupumua kwa kutumia mapezi.
- Kutaga mayai, kupumua kwa kutumia ngozi na kuishi majini.
- Konokono, mjusi na kenge
- Papasi, panzi na mbungo
- Chura, mamba na mchwa
- Kuku, popo na bata
- Nyoka, panzi na mbuzi
- Kobe
- Kasa
- Chura
- Mamba
- Nyangumi
- Papa
- Kobe
- Mjusi
- Kasa
- Mamba
- Popo
- Nyangumi
- Mbwa
- Panya
- Sungura
- Mchungwa
- Mvinje
- Mhindi
- Mwembe
- Mpera
- Maji
- Mafuta
- Asali
- Dawa
- Uji wa moto
- Juisi
- Asali
- Soda
- Nyumbani
- Shule
- Kulala
- Hospitalini.
- Kuwa na nguvu
- Kuwafurahisha walimu
- Tuendelee kusoma
- Tuimarishe afya ya mwili.
41. Kirutubisho cha aina ya _____________ husaidia katika ukuaji wa maua.
42. Kirutubisho kinachosaidia katika ukuaji wa majani huitwa________________
43. Kirutubisho cha aina ya_________________ husaidia katika ukuaji wa mizizi
44. Maji na virutubisho husafirishwa kutoka kwenye mizizi hadi kwenye majani kwa njia ya___________
45. Kitendo cha mimea kujitengenezea chakula huitwa______________
STANDARD SIX SAYANSI EXAM SERIES 16
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
Chagua Jibu sahihi.
1. Katibu kata anachaguliwa na:
Andika neno kweli au si kweli katika maswali yafuatayo.
21. Mwenyekiti wa baraza na madiwani na kamati ya mipango ni kurugenzi za halmashauri
22. Jukumu la Afisa elimu ni kupambana na magonjwa mfano ikimwi
23. Mkuu wa mkoa huteuliwa na Raisi
24. Mkuu wa Wilaya huapishwa na Mkuu wa Mkoa
25. Matibu tawala wa Wilaya ni mshauri mkuu wa Mkuu wa Wilaya
26. Ofisa tarafa ana jukumu la kusimamia maofisa watendaji wa Kata, Vijiji na Vitongoji.
27. Katibu tawala wa Mkoa ni mratibu shughuli zote za kiutawala kimkoa.
28. Mganga mfawidhi anasimamia manunuzi yote yanayofanywa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
29. Ofisa maliasili Wilaya anasimamia na kubuni miradi ya biashara katika Wilaya yake.
30. Mkuu wa Wilaya humsaidia Mkuu wa Mkoa katika kusimamia halmashauri zake.
SEHEMU C.
Weka alama ya () kwenye taka ngumu na alama ya (x) kwenye taka laini.
SEHEMU. D
JIBU MASWALI YAFUATAYO KWA KIFUPI.
41. Taja shughuli moja kuu ya uzalishaji ilianzisha nchini Tanzania baada ya Uhuru.
42. Taja njia zinazoiwezesha serikali kujipatia fedha kwa matumizi mbalimbali
43. Ili viwanda viweze kuzalisha bidhaa kwa wingi zaidi vinahitaji…….na……………..
44 Taja fursa za kibiashara zinazoweza kuwepo katika sehemu za wafugaji…..
45. Nini maana ya ujasiriamali?
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Mtihanihuu una maswali 45
- Jibu maswali yote kwenyekaratasi uliyopewa
- Hakikisha kaziyako safi
Chagua Jibu sahihi.
1. Katibu kata anachaguliwa na:
- Wanachama wa chama tawala
- Mkutano mkuu wa kata
- Wananchi wa kata ile
- Mkutano wa kijiji wa mwaka
- Kamati ya kijiji
- Katibu kata
- Afisa mtendaji wa Kata
- Katibu Kata wa viti maalumu
- Afisa mtendaji wa Mkoa
- Kamanda wa Polisi wa Mkoa
- Katibu tawala wa Mkoa
- Mkurugenzi mtendaji wa manispaa
- Mkuu wa Mkoa
- Afisa mtendaji wa Mkoa
- kamanda wa Polisi wa mkoa
- uhuru na maendeleo
- uhuru na kazi
- uhuru na umoja
- uhuru na amani
- umoja na amani
- Tatu
- Mbili
- Nne
- Tano
- Sita
- Kusimamia maendeleo ya taaluma
- Kutoa ushauri juu ya maambukizi ya UKIMWI
- Kuidhinisha uteuzi wa waalimu
- Kusimamia nidhamu ya waalimu
- Kusimamia ujenzi na maendeleo ya shule.
- Berlin
- London
- Roma
- Paris
- New York
- Mary Leakey
- Charles Darwin
- Louis Leakey
- Richard Leakey
- John Speke
- ufunguo
- fremu
- dira
- kipimio
- kichwa cha ramani
- umbo la tufe
- kupatwa kwa jua
- kupwa na kujaa kwa maji
- jua la utosini
- kupatwa kwa mwezi
- Zimbabwe.
- Tanzania.
- Botswana.
- Ghana.
- Ethiopia.
- mama atajishughulisha na kazi za ndani.
- baba ataajiriwa.
- watoto watajishughulisha na masomo.
- wanafamilia watatimiza wajibu wao.
- wanafamilia watasali pamoja.
- Naijeria, Namibia na Togo.
- Gambia, Togo na Namibia.
- Kameruni, Togo na Namibia.
- Namibia, Tanganyika na Naijeria.
- Kameruni, Tanganyika na Senegal.
- Vita Kuu ya Kwanza.
- Vita Kuuya Pili.
- Mkutano wa Berlin.
- Kuundwa kwa UNO.
- Kushindwa kwa Wareno.
- Waalimu
- Wanakijiji
- Serikali
- Raia wote
- Kulima
- Kukata miti
- Kupanda maua
- Ufugaji wa nyuki
- Kabati
- Maktaba
- Dawati
- Computa
- Haigromita
- Anemomita
- Thamomita
- Baromita
- Mawingu mazito
- Upepo mkali
- Ngurumo na radi
- Jua kali
Andika neno kweli au si kweli katika maswali yafuatayo.
21. Mwenyekiti wa baraza na madiwani na kamati ya mipango ni kurugenzi za halmashauri
22. Jukumu la Afisa elimu ni kupambana na magonjwa mfano ikimwi
23. Mkuu wa mkoa huteuliwa na Raisi
24. Mkuu wa Wilaya huapishwa na Mkuu wa Mkoa
25. Matibu tawala wa Wilaya ni mshauri mkuu wa Mkuu wa Wilaya
26. Ofisa tarafa ana jukumu la kusimamia maofisa watendaji wa Kata, Vijiji na Vitongoji.
27. Katibu tawala wa Mkoa ni mratibu shughuli zote za kiutawala kimkoa.
28. Mganga mfawidhi anasimamia manunuzi yote yanayofanywa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
29. Ofisa maliasili Wilaya anasimamia na kubuni miradi ya biashara katika Wilaya yake.
30. Mkuu wa Wilaya humsaidia Mkuu wa Mkoa katika kusimamia halmashauri zake.
SEHEMU C.
Weka alama ya () kwenye taka ngumu na alama ya (x) kwenye taka laini.
Taka | Alama |
31. Vipande vya chuma | |
32. Karatasi | |
33. Nyasi | |
34. Vipande vya chupa | |
35. Mabaki ya ugali | |
36. Barafu | |
37. Wembe | |
38. Pamba zilizotumika | |
39. Kinyesi cha binadamu | |
40. Maji taka |
JIBU MASWALI YAFUATAYO KWA KIFUPI.
41. Taja shughuli moja kuu ya uzalishaji ilianzisha nchini Tanzania baada ya Uhuru.
42. Taja njia zinazoiwezesha serikali kujipatia fedha kwa matumizi mbalimbali
43. Ili viwanda viweze kuzalisha bidhaa kwa wingi zaidi vinahitaji…….na……………..
44 Taja fursa za kibiashara zinazoweza kuwepo katika sehemu za wafugaji…..
45. Nini maana ya ujasiriamali?
STANDARD SIX MAARIFA EXAM SERIES 15
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SOCIAL STUDIES- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
Choose the most correct answer and then write its letter in the answer sheet given..
PART I: CIVICS
1. Who is the leader of government affairs at the ward level?___
years and above.
13. The main factors that contribute to single parent family are_______
2 7. Which of the following groups consists of types of map scale?
Answer all questions in this section.
41. What is agriculture?
42. Name any two telecommunication companies in Tanzania
43. Why did chief Mkwawa commit suicide?
44. Mention the leader who led to independence struggle in Kenya.
45. State two importance of agriculture in Tanzania
SOCIAL STUDIES- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
- This paper has four printed pages, forty five (45) questions with sections A and B
- Answer all the questions in all sections.
- Remember to write your full names and school name in the answer sheet provided.
- Make sure your work is neat without unnecessary cancelling to avoid loss of marks.
- Use a blue or black ink ball pointed pen for all given questions.
Choose the most correct answer and then write its letter in the answer sheet given..
PART I: CIVICS
1. Who is the leader of government affairs at the ward level?___
- Village Chairperson
- Ward Executive Director
- District Commissioner
- Ward Executive Officer
- Ward Councilor
- The President of the United Republic of Tanzania
- The President of Revolutionry Government of Zanzibar
- The first Vice President of Zanzibar
- The Chief Minister of Zanzibar
- The Prime Minister of Tanzania
- Culture
- Customs
- Traditions
- Arts
- Crafts
years and above.
- 32
- 40
- 21
- 25
- 50
- Green
- Yellow
- Blue
- Black
- Dark
- Patriot
- Traitor
- Feeling
- Patriotism
- Citizenship
- District Executive Director
- District Commissioner
- Regional Commissioner
- District Council Chairperson
- Member of Parliament
- Traditions
- Culture
- Customs
- Sports
- Marriage
- Rwanda
- Burundi
- Tanzania
- Kenya
- Somalia
- Judge Lewis Makame
- Judge Joseph Warioba
- Judge Francis Mutungi
- Judge Professor Ibrahim Juma
- Judge Semistocles Kaijage
- Nominated leaders
- Appointed leaders
- Political leaders
- Good leaders
- Important leaders
- 2020
- 2019
- 2021
- 2022
- 2025
13. The main factors that contribute to single parent family are_______
- Disease and anger
- death and wedding
- Polygamy and ignorance
- Death and divorce
- Poverty and happiness
- Aunt
- Uncle
- Grandfather
- Cousin
- Grandmother
- 1886
- 1840
- 1890
- 1804
- 1863
- ANC
- UTP
- AMNUT
- TAA
- AA
- Germany
- Britain
- France
- Italy
- Portugal
- Great Depression
- Second World War (WWII)
- First World War (WWI)
- Berlin Conference
- Capitalism
- Bagamoyo
- Mombasa
- Zanzibar
- Sofala
- Kilwa
- Tourism
- Trade
- Agriculture
- Insurance
- Mining
- TANU
- ASP
- UMMA
- ZPPP
- ZNP
- Iron age
- Early Stone Age
- Middle Stone Age
- Late Stone Age
- First Stone Age
- Queen Elizabeth’s Conference
- Boris Johnson’s Conference
- Donald Trump’s Conference
- Emmanuel Macron’s Conference
- Berlin Conference
- Bagamoyo
- Zanzibar
- Mombasa
- Sofala
- Kilwa
- The Nyaturu
- The Kamba
- The Nyakyusa
- The Nyamwezi
- The Yao
- Musoma Declaration
- Iringa Declaration
- Arusha Declaration
- Zanzibar Declaration
- TANU Policy
2 7. Which of the following groups consists of types of map scale?
- Atlas, geological and cadastral
- Ground, aerial and oblique
- Statement, representative and linear
- Large, medium and small
- Topographical, statistical and demography
- 1:100000
- 1cm represents 1km
- 1cm = 100000
- 1cm stands for 1km
- m 5000 123 km
- 16km
- 32m
- 64km
- 32km
- 64cm
- The Equator
- The Prime Meridian
- The North Pole
- The International Date Line
- Parallels
- The Tundra Zone
- The Polar Zone
- The Doldrums
- The Semi arid Zone
- The Outer Belt
- 962
- 269
- 514
- 415
- 541
- Turning point
- Grid map
- Grid origin
- Reference corner
- Linear point
- Fertilizers, textiles, cigarettes and cement industries
- Vehicles, motorcycles and bicycles industries
- Restaurants, banking, transportation and media
- Welding, carpentry, Pottery and tailoring
- farming, mining animal keeping and fishing
- Cause noise pollution produced by heavy machines
- Lack of skilled labour, management and poor infrastructures
- Provide employment, foreign exchange and markets for our cash crops
- Stimulates other economic sectors.
- Processing, manufacturing and assembling.
- Mount Kilimanjaro
- Tanzania
- Block mountain
- Fold mountain
- Volcanic mountain
- Lake Nakuru
- Lake Turkana
- Lake Magadi
- Lake Kyoga
- Lake Rukwa
- Wind gauge
- Anemometer
- Wind vane
- Thermometer
- Wind sock
- a strait
- a cape
- a peninsula
- a gulf
- an island
Answer all questions in this section.
41. What is agriculture?
42. Name any two telecommunication companies in Tanzania
43. Why did chief Mkwawa commit suicide?
44. Mention the leader who led to independence struggle in Kenya.
45. State two importance of agriculture in Tanzania
STANDARD SIX SOCIAL EXAM SERIES 14
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_____________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
SECTION A: MULTIPLE CHOICES
Choose the most correct answer and then write its letter in answer sheet provided
1. The chemical formula that represents water is ___________________
41. Mention two genetic disorders
42. Mention any two sexually transmitted diseases
43. What is a balanced diet
45. Mention two food that can give us vitamin C
SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_____________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
- This paper has four printed pages, forty five (45) questions with sections A and B
- Answer all the questions in all sections.
- Remember to write your full names and school name in the answer sheet provided.
- Make sure your work is neat without unnessessary cancelling to avoid loss of marks.
SECTION A: MULTIPLE CHOICES
Choose the most correct answer and then write its letter in answer sheet provided
1. The chemical formula that represents water is ___________________
- H2O2
- H2O
- HO
- 2HO
- HO2
- Chlorophyll
- Stomata
- Cotyledon
- Cell
- guard cell
- souring of milk
- freezing of water
- grinding of chalks
- melting of salt
- boiling of water
- ovary to the ovule
- stigma to the anther
- petal to the stigma
- anther to the stigma
- sepal to the style
- Heart, lung and blood
- White and red blood cells
- Heart, white blood cells and blood
- Heart, blood vessels and blood
- Blood, capillaries and blood cells
- Phosphorus
- Nitrogen
- Calcium
- Iodine
- salt
- concave
- convex
- plane
- contact
- telescopic
- Snake
- Fish
- Snail
- Crocodile
- elephant
- Water
- Blood
- Bone
- Steak
- A and B
- Stigma
- Stamen
- Style
- anther
- Ovary
- Methane
- Carbondioxide
- Nitrogen
- Oxygen
- Ozone
- Water, oxygen and soil
- Water, carbon dioxide and soil
- Wind, fertilizer, moisture and water
- Air moisture, temperature and soil
- Moisture, oxygen and warmth
- Waves
- Vibrations
- Drum
- Burst
- Songs
- 900
- 400
- 300
- 600
- 450
- Cotyledon
- Plumule
- Radical
- Endosperm
- Seed root
- Oxygen
- Hydrogen
- Water
- Nitrogen
- carbon dioxide
- adrenaline
- insulin
- amyle
- oestrogen
- thyroxin
- conduction
- reflection
- radiation
- convection
- bending
- mouth
- stomach
- rectum
- large intestine
- small intestine
- boiled milk
- lemon juice
- the sugar and salt solution
- to rest him in a cool and quiet place
- the sugar and lemon solution
- blood cells
- blood platelets
- white blood cells
- sickle cells
- plasma cells
- liver, blood, heart and capillaries
- Kidney, liver, lungs, and bile
- liver, skin , lungs, and kidney
- heart , liver, skin, and kidney
- eye, nose, skin, tongue and ear
- water
- vacuum
- solid
- air
- glass
- reptiles
- mammalian
- amphibians
- fish
- snake
- Reptilian
- Mammalian
- Fish
- Amphibians
- Aves.
- Water turning into vapour
- Ripening of fruits
- Dissolving sugar in water
- Ice melting into liquid
- Expansion of iron
- Fertilize the soil
- Reduce water loss
- Protect itself
- Add water
- Add carbon dioxide
- Bicycle
- Bottle opener
- Generator
- Sewing machine
- Motorcycle
- Reptiles
- Mammals
- Birds
- Amphibians
- Insects
- Friction
- Chemicals
- Water
- Machine
- Heat
- Liver, blood, heart and capillaries
- Kidney, liver, lungs, and bile
- Heart, liver, skin, lungs and kidney
- Liver, skin, lungs and kidney
- Small intestines, heart and capillaries.
- Scissors
- Levers
- Magnet
- Machine
- Computer
- Red blood cells
- Platelets
- White blood cells
- Plasma
- Blood protein
- 60j
- 60m
- 60N
- 16N
- 0.6j
- 25.8 volts
- 200 volts
- 2.3 volts
- 20 volts
- 0.03 volts
- Nitrogen
- Oxygen
- Air
- Hydrogen
- Matter
41. Mention two genetic disorders
42. Mention any two sexually transmitted diseases
43. What is a balanced diet
45. Mention two food that can give us vitamin C
STANDARD SIX SCIENCE EXAM SERIES 13
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha uiandike kwenye karatasi ya kujibia uliyopewa
1. Gari langu ni bovu, lake ni zima. Neno lake limetumika kama aina ipi ya neno?
Chagua herufi ya jibu sahihi.
21. Methali ipi haisisitizi juu ya ushirikiano?
Soma shairi hili kisha jibu maswali yafuatayo
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha iandike kwenye karatasi ya kujibia.
31. Neno kauli kama lilivyotumika katika ubeti wa kwanza wa shairi lina maana gani?
Panga sentensi zifuatazo kwa mtiririko unaofaa kwa kuzipa herufi A,B,C,na D
SEHEMU E: UFAHAMU
Soma vizuri habari ifuatayo kisha jibu maswali yafuatayo kwa usahihi.
Mfalme Bwanyenye wa nchi ya Ahadi hakupenda kuongoza kwa haki. Kila alichokisema yeye wapambe wake walikifanya kuwa sheria. Alivimba kichwa na kujiona yeye ndiye mwamba shupavu. Ulikuwa ni ufalme wa kimabavu. Haswa! Wanazuoni wengi walidai kuwa huo ni udiktekta. Kila mtu hakuwa salama, jela zilijaa watu wasio na hatia. Useme kipi uwe salama? Hilo lilikuwa ni fumbo kubwa, wengi kwa kuogopa walinyamaza kimya na kujifariji kwa kusema hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Walijiuliza yupo wapi Adolf Hilter, yule mtawala
wa Ujerumani aliyekuwa katili, yu wapi Mobutu wa Kongo aliyekuwa na nguvu tele? Naam, wote wamepita mithili ya radi.
MASWALI
40. Neno wanazuoni kama lilivyotumika katika habari hiyo lina maana gani
41. Mfalme Bwanyenye alitawala nchi gani?____________
42. Eleza maana ya methali iliyotumika katika habari hii ? __
43. Neno mithili kama lilivyotumika katika aya ya mwisho lina maana gani ?
44. Kichwa cha habari hii chafaa kuwa
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO
- Karatasi hii ina kurasa nne zenye maandishi yenye sehemu A,B, C,D na E zenye maswali arobaini na tano (45).
- Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
- Kumbuka kuandika majina yako, na shule yako kwenye karatasi ya kujibia.
- Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
- Tumia kalamu ya wino wa bluu au nyeusi kwa maswali yote uliyopewa.
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha uiandike kwenye karatasi ya kujibia uliyopewa
1. Gari langu ni bovu, lake ni zima. Neno lake limetumika kama aina ipi ya neno?
- Kielezi
- Kitenzi
- Kiwakilishi
- Nomino
- Kivumishi
- Kwanza umoja
- Tatu wingi
- Tatu umoja
- Pili wingi
- Pili umoja
- Nne
- Tatu
- Sita
- Saba
- Kumi
- Alisema kuwa atakula chakula chake chote
- Alisema kuwa nitakula chakula changu chote
- Alisema kuwa nitakula chakula
- Alisema nitakula chote
- Alisema kuwa chakula chake chote atakula
- Ha
- Wa
- Ma
- Li
- ta
- Kielezi
- Kiwakilishi
- Kivumishi
- Kitenzi
- Nomino
- A-WA
- LI-YA
- U-YA
- I-ZI
- U-ZI
- Ezeka
- Paa
- Paua
- Panua
- Panda
- Yoyote
- Yeyote
- Lolote
- Wowote
- Kokote
- Kutenda
- Kutendewa
- Kutendeka
- Kutendwa
- kutendesha
- Bahasha
- Stempu
- Anwani
- Sahihi
- ukuta
- Ndimo
- Ndiko
- Ndipo
- Ndilo
- ndicho
- Kitenzi
- Kiunganishi
- Kivumishi
- Kiwakilishi
- kihisishi
- Kifuku
- Kipupwe
- Vuli
- Kiangazi
- Masika
- fundi___
- fund___
- fundish____
- fundis___
- fundisha
- Iringa
- Usingizi
- Miti
- Ndege
- jozi
- Mwashi
- Mhunzi
- Sonara
- Rubani
- Nahodha
- Hatuna budi
- Hawana budi
- Hana budi
- Sina budi
- Hamna budi
- Kilio
- Somo
- Nakala
- Mafundisho
- Malio
- Mapaka yanakunywa maziwa
- Paka yanakunywa maziwa
- Mapaka yamekunywa maziwa
- Paka wanakunywa maziwa
- Paka anakunywa ziwa
Chagua herufi ya jibu sahihi.
21. Methali ipi haisisitizi juu ya ushirikiano?
- Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
- kidole kimoja hakivunji chawa
- figa moja haliinjiki chungu
- kidole kimoja hakipigi kofi
- chelewa chelewa utakuta mwana si wako
- damu nzito kuliko maji
- haba na haba hujaza kibaba
- upele humwota asiyekuwa na kucha
- penye miti hapana wajenzi
- siku za mwizi ni arobaini
- mwongo
- mzoefu
- msahaulifu
- mkweli
- kichwa kikubwa
- kuguguna mfupa wake
- kula mfupa wake
- kubeba
- kubakiza
- kushukuru
- Moshi
- Njia
- Nyoka
- Mti
- kichwa
- hamadi kibindoni
- wema hauozi
- ajali haina kinga
- kiburi si maungwana
- mwenda pole hajikwai
- radi
- mvua
- upepo
- njia
- popo
- siku za mwizi ni arobaini
- zimwi likujualo halikuli likakwisha
- asiyeuliza hana hajifunzalo
- chembe na chembe mkate huwa
- sanda ya mbali haiziki maiti
- Kigeugeu
- kuwa mnyama
- kuwa msahaulifu
- kuwa mwoga
- kuwa tajiri
- kikombe
- kibatari
- kitabu
- kisima
- shimo
Soma shairi hili kisha jibu maswali yafuatayo
- Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, watoto wake wakaja , ili kumtaka hali, wakataka na kauli, iwafae maishani.
- Akatamka mgonjwa , ninaumwa kwelikweli, hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali roho naona yachinjwa , kifo kinanikabili, kama wakata kauli , sema niseme nini?
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha iandike kwenye karatasi ya kujibia.
31. Neno kauli kama lilivyotumika katika ubeti wa kwanza wa shairi lina maana gani?
- Tamko
- Muhtasari
- Maradhi
- Ugonjwa
- Vina
- Kumi
- Nane
- Kumi na sita
- Tisa
- Nne
- li
- wa
- njwa
- ja
- nj
- Tatu
- Tano
- Nne
- Moja
- Mbili
- Mizani
- Vina
- Mkarara
- Mshororo
- Mstari
- Nne
- Tatu
- Nane
- Moja
- Mbili.
Panga sentensi zifuatazo kwa mtiririko unaofaa kwa kuzipa herufi A,B,C,na D
36. Ilikuwa ni usiku wa manane | [ ] |
37. Asubuhi yake tulianza safari ya kuelekea kijijini Manga | [ ] |
38. Baba alipigiwa simu na kupewa taarifa ya msiba wa bibi yetu | [ ] |
39. Baba alituamsha na kutupa taarifa zile na kutusihi tulale lakini hatukupata hata lepe ya usingizi | [ ] |
Soma vizuri habari ifuatayo kisha jibu maswali yafuatayo kwa usahihi.
Mfalme Bwanyenye wa nchi ya Ahadi hakupenda kuongoza kwa haki. Kila alichokisema yeye wapambe wake walikifanya kuwa sheria. Alivimba kichwa na kujiona yeye ndiye mwamba shupavu. Ulikuwa ni ufalme wa kimabavu. Haswa! Wanazuoni wengi walidai kuwa huo ni udiktekta. Kila mtu hakuwa salama, jela zilijaa watu wasio na hatia. Useme kipi uwe salama? Hilo lilikuwa ni fumbo kubwa, wengi kwa kuogopa walinyamaza kimya na kujifariji kwa kusema hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Walijiuliza yupo wapi Adolf Hilter, yule mtawala
wa Ujerumani aliyekuwa katili, yu wapi Mobutu wa Kongo aliyekuwa na nguvu tele? Naam, wote wamepita mithili ya radi.
MASWALI
40. Neno wanazuoni kama lilivyotumika katika habari hiyo lina maana gani
41. Mfalme Bwanyenye alitawala nchi gani?____________
42. Eleza maana ya methali iliyotumika katika habari hii ? __
43. Neno mithili kama lilivyotumika katika aya ya mwisho lina maana gani ?
44. Kichwa cha habari hii chafaa kuwa
STANDARD SIX KISWAHILI EXAM SERIES 12
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
Choose the most correct answer and write its letter in the answer sheet provided
1. The sun usually ____ at around 6:55 pm
Choose the most correct answer and then write its letter in the answer sheet provided.
19. That bitch has lost……….two puppies
Choose the most correct and then write its letter in the answer sheet provided
31. Dealing in hard drugs is against the law underlined words can be replaced by; ____
Re-arrange the following sentences into correct order by giving them letters A-E so that the story can make sense.
SECTION E: COMPREHENSION:
Read the passage below carefully and then answer question that follow .
Once upon a time, there was a boy who used to steal chicken from his neighbours. One day he was caught stealing a very big chicken from an old woman who lived all by herself. The boy was badly beaten by the villagers before being taken to the police station. One of the policemen told the thief that he was lucky that day and if he didn’t change his behaviours and stop stealing, he might end up being burnt alive. The boy was asked if he knew that, and he answered calmly,” Yes Sir, I know that, but because I am used to stealing, I can’t stop immediately. In the past I used to steal one chicken a week, but from tomorrow I’ll steal one chicken a month. In this way by next year I will have stopped being a thief.
QUESTIONS
41. From whom did the boy used to steal chicken?_______
42. The suitable word to replace the word change as used in the passage can be
43. What do we learn from the story?__________
44. When was the boy badly beaten___________
45. Which word from the passage can be replaced by the word at once?__
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS 2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
- This paper has four printed pages, forty five (45) questions with sections A and B
- Answer all the questions in all sections.
- Remember to write your full names and school name in the answer sheet provided.
- Make sure your work is neat without unnecessary cancelling to avoid loss of marks.
- Use a blue or black ink ball pointed pen for all given questions.
Choose the most correct answer and write its letter in the answer sheet provided
1. The sun usually ____ at around 6:55 pm
- Set
- Sets
- Rise
- Rises
- risen
- Got
- should get
- get
- gets
- has got
- had not paid
- will pay
- have not paid
- shouldn’t pay
- will have paid
- Helped
- Help
- Helping
- Helps
- will help
- Had
- Has
- Was
- Have
- were
- Left
- Leaving
- Live
- Leave
- living
- Would have won
- would win
- will win
- had won
- would have not won
- Were
- Was
- Are
- have been
- have
- have returned
- am returning
- returned
- will return
- return
- is saying
- says
- said
- will say
- have said
- Raised
- Rised
- Rose
- Raise
- risen
- can’t they
- don’t they
- aren’t they
- do they
- don’t they?
- has been
- was
- were
- is
- will
- Were
- Have
- Has
- Was
- are
- Were
- Are
- Was
- Have
- am
- Is
- Had
- Are
- Have
- was
- Gets
- Get
- Gotting
- Got
- have gotting
- was repaired
- is being repaired
- has been repaired
- had been repaired
- has repaired
Choose the most correct answer and then write its letter in the answer sheet provided.
19. That bitch has lost……….two puppies
- it’s
- Its
- its’
- it is
- his
- a part
- beside
- not
- besides
- together
- one’s
- ones
- ones’
- once
- whether
- Arrives
- Arrive
- Arrival
- arrived
- came
- For
- At
- Since
- although
- about
- Who
- Which
- Whom
- whose
- that
- Between
- To
- With
- amongst
- of
- At
- Over
- Through
- Above
- for
- monk let
- calf
- troop
- baby
- chatters
- Or
- Not
- No
- Nor
- even
- Too
- Enough
- So
- Very
- such a
- Factory
- Bank
- Mint
- ginnery
- state house
Choose the most correct and then write its letter in the answer sheet provided
31. Dealing in hard drugs is against the law underlined words can be replaced by; ____
- Impossible
- Wrong
- Dangerous
- Illegal
- legal
- Rarely
- Never
- several time
- shall
- always
- Bad
- Dry
- Useful
- Dirty
- wet
- the beginners
- the establishers
- the founders
- the owners
- strangers
- went some where far
- death
- slept
- died
- was born
Re-arrange the following sentences into correct order by giving them letters A-E so that the story can make sense.
36. They told stories about their fertile land | [ ] |
37. They lived happily in the western land | [ ] |
38. In the early 1880’s trappers and trades traveled through western land | [ ] |
39. Some decided to travel to the west to settle and farm | [ ] |
40. People who live in the east heard these stories | [ ] |

No comments:
Post a Comment